Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

Vijana tumewekwa mtu kati mwaka huu

Waseme yote ila hilo la kulelewa na wamama wasirudie tena kuliongea, hivi tukiacha mashangazi haya tutapata utamu kama wa mashangazi.
 


MKUU ONGEZEA NA HII YA JANA
Screenshot_20231018-085634.png
 
Prof Morsi alifanya research na kusema ikifika 2030 africa kutakuwa na comflict kubwa kati ya wazee na vijana, vijana wanao ingia kwenye soko la ajira kwa mwaka ni maratano ya wazee wanaostaafu hivyo itafika muda lazima cheche zipige, ndo utasikia vijana mjiajiri anae waambia kaajiriwa,
 
Back
Top Bottom