Vijana tujitambue

magis

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
392
Reaction score
590
Natamani tuwe na Tanzania bora.Natamani tuwaachie watoto wetu nchi iliyojengeka ktk misingi bora ya kujitambua,kujiamini na kujieleza.
Ninawaasa vijana wenzangu tujitahidi kutumia fursa na hasa zisizo za kisiasa kujiendesha.Wanasiasa waliowengi siyo wakweli.Wapo tayari kutudanganya ili wao wafikie malengo yao.
Ninawasihi sana Ndg zangu tujielekeze ktk kufanya kazi.
 
a
Sawa, asante
 
Ingependeza zaidi ungetoa mfano wakazi za kufanya bila mtaji wowote.
 
Ingependeza zaidi ungetoa mfano wakazi za kufanya bila mtaji wowote.
Inategemea una taaluma gani.Lkn pia haijalishi hata kama huna taaluma.
Njia ya kutumia mahitaji ya jamii ni rahisi zaidi.
 
Kazi zipo nyingi lkn kwa sababu ya kutokuwa na nidhamu,uadilifu na kujitoa kwa yale unayoyatambua wengi hawaaminiki hivyo walio na ajira au hata wanaowajua wenye ajira hawako tayari kuonesha njia kuepuka lawama.
Hivyo biashara rahisi ni
Adabu ,hii itakupa kila kitu.Kuwa mwenye tabia njema ktk jamii uone utakavyochagua kazi kwa kuwa kila mmoja atatamani kushirikiana nawe.
 
Fanya kazi mkuu, Pamabana na hali yako.

Mwanasiasa pale alipo anapigania familia yake iende chooni, akili kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…