Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Hayo mengine mkuu sikua na haja ya kumwambia asije kuona ananyanyasik na pia niliona si anakaa kwa muda ataondoka kilichofanya nikaweka huu uzi hapa na pia muhusika nilimwambia ni baada ya kupigiwa simu amekopa ndio nikamueleza tulivyo na nikamwambia kama Dodoma hana mishe arudi nyumbani maana mtu analala ndani siku nzima hatafuti hata kibarua mkuu unaanza kukopa majirani na kuomba ombaKabla sijakomenti kitu kuhusu huyo mtu naomba kuuluza. Je haya uliyotueleza na kushauri umemwambia pia muhusika mkuu??
Kukaa na mwanadamu ni kazi asikwambie mtu mambo ni mengi sema ndio hivyo now sikai na kiumbe wa mtu wacha nile ujana bhna maisha yanipe stress na msaada pia ukanip stressMwambie aache u🖕
Habari ya mtu mmoja kukosea na kususia wengine huwa naikataa mpaka kesho.Wakuu habari za masiku ndugu zangu poleni na mihangaiko ya siku.
Nilikua na ushauri kwa vijana tunaopambana kutafuta kuna ile una pata hifadhi mbali na nyumbani uenda ni kwa ndugu au rafiki tujitahidi tukifika maeneo mageni tuache vitabia vyetu vya ambavyo unaona vitakua kero kwa mwenyeji wako.
Mimi binafsi kuna uzi wa interview uliwekwa humu kwa kua nipo Dodoma nikajitolea kijana mmoja atakayekua Hana uwezo afikie Gheto tu kweli akaja kijana akafanya interview na akaondoka vizuri bila shida baada ya wiki kadhaa akaomba kurudi tena kuna ishu anafatilia nikaona nisawa kijana karudi amekaa takiribani mwezi kaona maisha yetu hatuna shobo na mtu zaid ya salamu basi yeye kaja kaanza kuwa mtu wa kuomba omba kwa majirani tabia ambazo hatuna kaomba na jiko kaanza kujipikia kubwa kuliko yote napigiwa simu na jirani anaanza kunielezea jamaa kamkopa Hana mwelekeo wa kumlipa.
Jamani kama ukipata hifadhi jitaidi kuendana na watu walivyo jamani jamaa mambo ni mengi ya hovyo kafanya tumetulia hadi kukopa tena.
Mshikaji yupo humu asome na aelewe kabisa nimekasirika haswa na nimejifunza pia sitorudia kosa
Majungu gani mkuuAcha majungu
Alichukua namba akapiga maana niliweka namba humuMtaje