Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

Vijana tujiari Serikalini hakuna ajira

Tatizo mkishakula mkishiba mnaanza kukejeli vijana wanaotafuta maisha.
Nchi ina watu wa ajabu ajabu tu
Kujiajiri sio lelemama
Ukishakua umeajiriwa ni rahisi kuwaambia wenzako
MKAJIAJIRI SERIKALINI HAKUNA NAFASI,ELIMU YA SIKU HIZI HAINA SKILLS UTADHANI KUNA LA MAANA MLILOFANYA ZAIDI YA KUJIKOMBA ILI MTEULIWE NA KULINDA NAFASI ZENU
Hoja ni jinsi msomi anavyopaswa kufikiri na anavyofikiri. Hapa sasa unachojaribu kuongea ni kuwa mtu aonewe huruma kutokana na ugumu wa maisha aliyopitiwa. Usisahau kuna waliotamani hiyo nafasi kwa shida hizo hizo na hawakupata.

Na mwisho, ubunge na hizo nafasi za kuteuliwa ni za kila mwenye nia, itategemea na network unayojitengenezea, kama unaamini hata mimi wa darasa la nne B ama niko serikalini au mteuliwa, basi tuendelee kumhurumia msomi wa chuo kikuu kushindwa kufikiri kama/zaidi ya darasa la nne B.
 
Back
Top Bottom