Vijana tujenge tabia ya kuheshimiana!!

Vijana tujenge tabia ya kuheshimiana!!

Naomba nitumie picha ya mama mdogo sijamuona siku nyingi
 
Mkuu haukuwa umevaa suruali imechanwa chanwa magoti kweli??
 
Mbona kama na wewe hujatuheshimu hivi kweli ulikuwa na mama etu mdogo wana Jf wote humu..?
 
Mbona kama na wewe hujatuheshimu hivi kweli ulikuwa na mama etu mdogo wana Jf wote humu..?
hiyo ni lugha tu inayotumika,ni sawa mtu anavokuita mwanangu hamaanishi ametoka na mama yako,acha ku catch feelings mkuu
 
Back
Top Bottom