Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,903
Vijana wenzangu sisi tunatengeneza zaidi ya asilimia 60 ya idadi ya wakazi wote wa Taifa letu.
Babu zetu waliishi kwa dhihaka, dharau,amri, viboko na kila aina ya udhalilishaji. Tatizo ilikua ni ukosefu wa elimu.
sasa tumeenda shule kwa elimu waliyotupa wao, tunajielewa.
Rais wetu anasema kua haoni haja ya kuendelea kuomba wakati tuna kila kitu. Mungu katupendelea.
Sisi ni nguvu kazi ya Taifa hili. je ni sahihi kwa sisi kuendelea kuishi maisha ya babu zetu ya woga na kutojiamini?
Lini tutaachana na huu ujinga?
Lini tutaona umuhimu wa kujitegemea?
Tufanye kazi kwa kujenga nchi yetu.
Vizazi vijavyo vitapima busara zetu kwa maamuzi tutakayofanya leo.