Unaakili sana!Nakuunga mkono,nipo tayari kubeba sululu,jembe na kila zana zinazohitajika ili tuzibomoe barabara zote,tung'oe nguzo zote za Umeme na kuharibu miradi yote iliyijengwa kwa fedha za wahisani.Hatuwezi kuendelea kuwa wapumbavu wa kutumia miundimbinu iliyojengwa kwa fedha za wahisani wakati tuna uwezo wa kujenga kwa fedha zetu za ndani.
Aisee umenichekesha sana japo sio swala la kucheka ,kachumbari na ng'ombe hahanimelima.nyanya niliishia kuwapa ngo'mbe kama kachumbari, mwambie huyo rais wako ajenge viwanda vya kutosha tuanze kuexport kuliko kuiport
mwaka wa fedha ni july. ya last yr ilikua ya awamu ya 4 bajeti ya 1 ya awam ya 5 ni next jly.Bajeti ijayo ya Nini,ina maana binge lililopita hawakutenga hela kwaajili ya ajira mpya?? Kama walitenga zimeenda wapi?? Afu nimesema anijibu urais sio wewe mkulima wa kawaida hujui lolote....siwezi kusapoti ujinga
Unaonekana dhahiri ni kiwavi.... Maisha na fikra zako ni fupi sana....serikali ilitambua hili kitambo; imejipanga; bajeti ijayo itasema kila jambo.
wooh! kumbe ni wewe. Usijisikie vibaya kukosolewa mkuu..ya kwako ni yapi
kwa ma devils kama wwCall it devil's alternative!
kwani unafikiri tunaanzaje? kwa kia na kila kitYaani mnasapoti kujitegemea wakati hata dawa mnahitaji msaada ndio mzipate??? Jiulize kiasi gani mnakusanya kujitoshereza.....miundo mbinu gani mmejenga kwa pesa zenu???? Mnasema mna wataalamu wakati taft hata za kilimo wanafanya watu wa ulaya.... Mnashndwa kutatua matAtizo makubwa haya madogo mtayaweza kwel.....kweli vchwa panzi. Ulizeni Zimbabwe ndio mtajua maana ya ushirikiano.
Mnaowafukuza wasiwape hyo misaada wanavuna kila kitu kwenu dhahabu, almas tanzanite n.k lakin nadala ya kudil na mikataba ya lasilimal mnakataa mikataba et mnajiweza??
Hivi wewe unaishi Tanzania au wapi, unajidanganya.....miundombinu yote naomba utaje uliojenga kwa pesa yako shilingi hyokwani unafikiri tunaanzaje? kwa kia na kila kit
Apigie wapi huyu kashazoea kupigwa bao ndio tabia za kuwashwa hizi.ungekuta umepiga hata bao moja kuliko kutuandikia uchafu huu
Hyo bajeti ya mwisho ya awamu ya nne iliyopitishwa kwa ajili ya ajira za waalimu zimenda wapi hilo ndio swali.mwaka wa fedha ni july. ya last yr ilikua ya awamu ya 4 bajeti ya 1 ya awam ya 5 ni next jly.
Akusilize wewe kilaza ili iwejeRais wako wala hahitaji sapoti yetu, angelihitaji angetusikiliza wananchi wake
Stroke ya ubongo naona bado inakuumizaserikali ilitambua hili kitambo; imejipanga; bajeti ijayo itasema kila jambo.
Basi natuone km ataweza akiwa peke yake bila watuAkusilize wewe kilaza ili iweje
Watu Wapo tena ndio wengi kuliko nyieBasi natuone km ataweza akiwa peke yake bila watu
Vijana wenzangu sisi tunatengeneza zaidi ya asilimia 60 ya idadi ya wakazi wote wa Taifa letu.
Babu zetu waliishi kwa dhihaka, dharau,amri, viboko na kila aina ya udhalilishaji. Tatizo ilikua ni ukosefu wa elimu.
sasa tumeenda shule kwa elimu waliyotupa wao, tunajielewa.
Rais wetu anasema kua haoni haja ya kuendelea kuomba wakati tuna kila kitu. Mungu katupendelea.
Sisi ni nguvu kazi ya Taifa hili. je ni sahihi kwa sisi kuendelea kuishi maisha ya babu zetu ya woga na kutojiamini?
Lini tutaachana na huu ujinga?
Lini tutaona umuhimu wa kujitegemea?
Tufanye kazi kwa kujenga nchi yetu.
Vizazi vijavyo vitapima busara zetu kwa maamuzi tutakayofanya leo.
Labda misikule mnaowatoaga kafara, yeye Na akaze tu kwnza vikimuendea hovyo ndio furaha yetu,Watu Wapo tena ndio wengi kuliko nyie