wooh! kumbe ni wewe. Usijisikie vibaya kukosolewa mkuu..
Tuachane na Racism. Kwakua Obama ni rais wa wazungu.
Mambo yamebadilika sana
Madai ya wazungu na MCC ni sahii kwetu. Hapa wazungu wameonesha kutujali sisi tabaka tawaliwa.
Kimsingi Demokrasi aliyotufanyia wazenji ,na hizo madai nyingine ni KWELI tumeonewa na huyu Rais wetu. It was unfair election.
Uhuru wa habari una Mushkeli..
Na probably mengi yatakuja .... Huo moyo wako wa kumuunga mkono unaweza kuyayuka huo tuendako...
Tuvute subira, tusimsifie mgema akaitia maji tembo.
Dunia ni kijiji kimoja, tusidanganyane. Kila taifa linahitaji jingine ..
Hii ni natural law.
Kusimama wenyewe in a long run, ...Jeuri hiyo hatuna.
Mabadiliko tuliyoyaimba wakati wa kampeni yanaweza kuwa postponed for the next generation..
Ili tuendelee
Tunahitaji
Good gavance
demokrasi
freedom of speech,
Rule of law
strong and effective opposition political parties.
Utaona kuna vitu huu utawala umevi ruined.