Vijana someni course hizi za afya mtanishukuru

Vijana someni course hizi za afya mtanishukuru

Habari za jioni.

Juzi kati nimeona selection za form four zimetoka.

Ila Mimi kama kaka yenu nimekuja kuwashauri wanafunzi wanaotaka kwenye kusoma vyuo vya kati course ya afya.

Kiukweli serikali inahuitaji mkubwa Sana wa watumishi wa afya maana kuanzia mwaka 2015 serikali iliweza kuondoa watumishi fake,wamestaafu na kuacha kazi pamoja na vifo.

Hivyo serikali ndani ya miaka 8 haijapata idadi inayotosha katika watumishi wa afya wanaohitajika.

Hii imepelekea vyuo vingi vya kati kuzalisha wataalaamu wengi ambao serikali haijaweza kuwatumia na private sector kuwapuuza kutokana na wingi wao.

Kada za afya kwa sasa zenye idadi kubwa sana mtaani ni.

Medical doctor (MD),clinical officers ,nurse wa diploma,watalaabu wa maabara (diploma na degree),pharmacy(diploma degree).

Ila serikali inahuhitaji mkubwa Sana wa hizi course na private sector pia course hizo ni...
.RADIOLOGY ,
ANESTHESIA
,BIOMEDICAL ENGINEER,
PHYIOTHERAPY
,OPHLEMETIC
ORTHOPEDIC
DIALYSIS.

kiukweli nawashauri kwa vijana wanaotaka kazi haraka hasa serikali wakasome hizi course kwa sasa demand yake ni kubwa.
Sisi tunawataka hawa wa Sudan , wakinaliza tubaki NAO, Full stop
 
Anesthesia
Biomedical Engineering
Dialysis

Hizi Programmes hata utumishi hawajazitengenezea mfumo mzuri wa kuajiriwa angalau hiyo Bio Engineering ajira za juzi tu hizi nionyeshe nani Anesthezia na Dialysis technician kaajiriwa!??

Hawa wengi wanachukuliwa waliopo kazini hasa Clinician na Nurses wanapowe short courses tu wanakuja sukuma hizo mishe
 
Juzi tu hapa serikali imetoa ajira elfu tano badala ya elfu nane, majibu hawana, visingizio vingi.

Waanasema mara mchakato unaendelea, baadae waziri anajichanganya kwamba kuna kozi waombaji hawakutosheleza ni uwongo mtupu.

Soma hizo kozi kwa manufaa yako, usitegemee ajira, serikali sikuhizi wamekuja na mfumo wa kujitolea tu mlipwe nusu mshahara, ndugu zao ndio wanawapa hizo ajira.

Upande wa private ni majanga tu unyonyaji unashamiri.
 
Anesthesia
Biomedical Engineering
Dialysis

Hizi Programmes hata utumishi hawajazitengenezea mfumo mzuri wa kuajiriwa angalau hiyo Bio Engineering ajira za juzi tu hizi nionyeshe nani Anesthezia na Dialysis technician kaajiriwa!??

Hawa wengi wanachukuliwa waliopo kazini hasa Clinician na Nurses wanapowe short courses tu wanakuja sukuma hizo mishe
Zipo lakini ndio wanatoa chache sana mfano biomedical engineering wameajiriwa wawili(2) kati ya hizo elfu tano
 
Zipo lakini ndio wanatoa chache sana mfano biomedical engineering wameajiriwa wawili(2) kati ya hizo elfu tano
Ndio maana yangu iko hapo jamaa anasisitiza wasome ilihali Utumishi tu huko hawachukui au wanachukua kiais kidogo sana!!

Sasa ndio Programmes za kumwambia mtu asome kweli!?? Mimi nitakushauri usome Nurse kati ya EN na RN hii programmes huwa haiachi watu
 
Mkuu kila sehemu majanga tu hyo nursing wanachukua wengi lakini kutokana na idadi yao duhh.

Kila mmoja asome vile anaona inafaa.
 
Kila siku serikali inabadili vipaumbele, unaweza Kuona kozi flani Ina demand ukija kuangukia pua, binafsi kozi niliyosoma udsm nikiwa 1st year mwaka wa nne kama hawajamaliza final ue Kuna kampuni zilikua zinakuja kabisa chuo wanapewa mialiko ya interview, Yani mtu hujagraduate unakuta una offer za kazi kama mbili tayari... Ila nilipofika mwaka wa tatu mambo yakabadilika kupata kazi ikawa mbinde asikuambie mtu
 
Ndio maana yangu iko hapo jamaa anasisitiza wasome ilihali Utumishi tu huko hawachukui au wanachukua kiais kidogo sana!!

Sasa ndio Programmes za kumwambia mtu asome kweli!?? Mimi nitakushauri usome Nurse kati ya EN na RN hii programmes huwa haiachi watu
Tofoutisha RN ni aina gani na AN ni ipi?
 
Back
Top Bottom