Vijana someni course hizi za afya mtanishukuru

Vijana someni course hizi za afya mtanishukuru

Kila siku serikali inabadili vipaumbele, unaweza Kuona kozi flani Ina demand ukija kuangukia pua, binafsi kozi niliyosoma udsm nikiwa 1st year mwaka wa nne kama hawajamaliza final ue Kuna kampuni zilikua zinakuja kabisa chuo wanapewa mialiko ya interview, Yani mtu hujagraduate unakuta una offer za kazi kama mbili tayari... Ila nilipofika mwaka wa tatu mambo yakabadilika kupata kazi ikawa mbinde asikuambie mtu
Ila kwa afya.ndugu yangu.hizo course nilizozitaja demand yake kubwa Sana bado
 
Mkuu kila sehemu majanga tu hyo nursing wanachukua wengi lakini kutokana na idadi yao duhh.

Kila mmoja asome vile anaona inafaa.
Mimi nimesoma nursing kiuhalisia ajira zipo Ila typo wengi Sana mtaani hasa kwa diploma...
 
Mimi nimesoma nursing kiuhalisia ajira zipo Ila typo wengi Sana mtaani hasa kwa diploma...
Alafu utakuta uliapply ukakosa,
1441552062.jpg
 
Back
Top Bottom