Vijana Simba wapigwa danadana zawadi zao

Hii ni habari ndogo katika gazeti la Mwananchi. Habari kuu ni Yanga yarudi bila Twite
 
Hivi kile kikosi kilichoshinda kombe la Bank ABC kuna mchezaji mwenye miaka chini ya 20?
mi nadhani Simba wanapaswa kusema kuwa ni kikosi cha wachezaji walikosa namba kikosi cha kwanza , kwa maumbo au kiwango!
Edward Christoper anasema ana miaka 19, kamaliza form four 2008 alikuwa na miaka mingapi? amecheza U-20 kwa miaka zaidi ya minne, lakini bado mpaka leo unaambiwa ni U-20 duu
 
Hii ni habari ndogo katika gazeti la Mwananchi. Habari kuu ni Yanga yarudi bila Twite
nimeona ITV juzi Kocha Salumu Madadi akitoa maelezo ya wale u-17 (airtel Raising Stars) walioenda Nairobi na kuishia round ya kwanza akiendeleza ile ile culture ya VISINGIZIO!
Mara uzoefu, mara hali ya hewa, kuzoeana nk.
Sasa this 'poor me' nikajikumbusha jinsi hizi timu zote zilivyopatikana, wote waliibuliwa kutoka 'kusikojulikana' sasa visingizio vya nini?
Hii imekazia kwenye jibu langu la awali kwa matatizo ya Watanzania kuwa ni MINDSETS.

 
narudia kusema hivi;timu yenye mwenyekiti mwanasiasa itaendeshwa kisiasa(kitapeli),na timu ya mwenyekiti mfanyabiashara itaendeswa kibiashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom