Oa ukiwa na 30Miaka 19 wengine wanasema I'm still young wengine ndo wanasema nioe dah.!nalewa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516]
CHAGUA CHAUMMA UPATE MLO WENYE LISHE BORA KWA AFYA YA AKILI NA MWILI!!!
Wanafunzi sema tu hawapigi kura huyu Rungwe angeshinda[emoji16][emoji3516]
CHAGUA CHAUMMA UPATE MLO WENYE LISHE BORA KWA AFYA YA AKILI NA MWILI!!!
Si wanasemaga mtapendana kwenye shida na raha!Mbona vijana tunatamani sana sema shida pesa tu harusi zingekuw zinafugwa Kila siku
I really like this slogan mazafanta[emoji3516]
CHAGUA CHAUMMA UPATE MLO WENYE LISHE BORA KWA AFYA YA AKILI NA MWILI!!!
we mwa na kwa uandishi huu itabidi tushee ma bottle agiza naja kulipaNioe mapema nijutie maamuzi,sasa wewe OA halafu tembea uone mabalaa ya sir God...
kama hujatamani kurudsha siku nyuma uwe single japo kwa wiki 1 tu,OA uzeeni huko miaka 60 hv ndio uoe...
We umemchoka mke wakoNikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game , Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa. Now nipo kwenye 40, naona kabisa uwezo wangu umeshuka Sana, ingawa bado napigana lakini sio kama mwanzo. Hoja yangu ni kwamba, vijana oeni mapema, muweze Ku enjoy sex katika ujana wenu ,na wake wa ujana wenu. Itafika kipindi utatamani ukae kifuani Kwa mpenzi wako angalau dakika 30, na hutaweza hata dakika 10, na bado ukiwa unamtamani mpenzi wako, na matokeo yake ndio utumiaji wa vumbi la mkongo na takataka nyingine kama hizo zinaanza. I miss my old days.
unapenda sana sex eeh?Hahahahahaa sikucheki ila nimekumbuka hekaheka za Baba Belinda....
Tumepishana miaka 5, yeye akiwa na miaka 55 mimi nilikuwa na miaka 50.
Tulichukua likizo ya mwezi mmoja, aiseeh tulipampuana siku nzima.
Siri kubwa kati yetu ni mazoezi na lishe bora, Ila pia bado tuna mahaba kila mmoja wetu bado anamhitaji mwenzie kimwili, kihisia na kilakitu.
Achana na madawa ya kuongeza nguvu ni danganya toto hiyo.
Kasie mpenda Mahaba.
unapenda sana sex eeh?
Kijana, bila Shaka utakua unatumia pombe/kilevi.Nikikumba wakati nikiwa kwenye 20s na early 30s, nilikuwa na uwezo Mkubwa Sana wa kupiga game , Ingawa nilioa nikiwa na 30, nilikuwa nipo fit kitandani. Mola kanijaalia nimepata na watoto 4, sasa. Now nipo kwenye 40, naona kabisa uwezo wangu umeshuka Sana, ingawa bado napigana lakini sio kama mwanzo. Hoja yangu ni kwamba, vijana oeni mapema, muweze Ku enjoy sex katika ujana wenu ,na wake wa ujana wenu. Itafika kipindi utatamani ukae kifuani Kwa mpenzi wako angalau dakika 30, na hutaweza hata dakika 10, na bado ukiwa unamtamani mpenzi wako, na matokeo yake ndio utumiaji wa vumbi la mkongo na takataka nyingine kama hizo zinaanza. I miss my old days.