HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,373
- 94,566
Hizi mbio mshindi hatapatikana
Ukweli ni kuwa Dar tunapata huduma zote za kijamii tena kwa ubora kuliko mikoani
Kila kitu kipo Dar kuna matunda yapo dar tu huko mikoani hakuna.
Hapa Dar mzunguko wa pesa upo
Hao wanaodangamya kuwa mkoani mtu anapata 1m kila siku wakawadanganye wajinga.
Mnafeli maisha mnaanza iponda Dar
Hakuna mtu anayeshindwa maisha mkoani akakimbilia Dar wote wakifanikiwa wanakimbilia Dar wakishindwa ndio wanarudi huko na kuanza ponda Dar