balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,435
- 12,554
Mbona Mimi nina maisha ya chini na ninamudu kila kitu? Muombe Mungu tu ndo mwisho wa yote.Maisha ya Dar kwa wenye kipato cha chini ni mtihani sana wengi hawapendi kutoka mtu mpaka anafikisha miaka 70 bado ana tafuta maisha na anapanga chumba kimoja na wajukuu hii ni hatari sana..Mikoani wenye maisha ya chini wanaweza kumudu kalibia aina zote za chakula mfano kuku ndizi mchele n.k lakini dar wenye kipato cha chini wanalala vibaya kwa kubanana room 1 asubuhi wanapiga maharage na chai mchana wanapiga pasi ndefu au kaunta ataki jioni miogo ya buku ya kukaanga wanawekewa kachumbali na kushushia jagi la maji..msipende kukalili njooni mikoani mtengeneze afya na msake maisha bora na wamikoani msiwaite majina watu wa dar kulegea kwao nikutokana na lishe mbovu na makazi mabovu....