Vijana na wazee mnao ishi Dar wenye kipato cha chini mtoke mje mikoani mtafute maisha

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
6,957
8,073
Maisha ya Dar kwa wenye kipato cha chini ni mtihani sana wengi hawapendi kutoka mtu mpaka anafikisha miaka 70 bado ana tafuta maisha na anapanga chumba kimoja na wajukuu hii ni hatari sana..Mikoani wenye maisha ya chini wanaweza kumudu kalibia aina zote za chakula mfano kuku ndizi mchele n.k lakini dar wenye kipato cha chini wanalala vibaya kwa kubanana room 1 asubuhi wanapiga maharage na chai mchana wanapiga pasi ndefu au kaunta ataki jioni miogo ya buku ya kukaanga wanawekewa kachumbali na kushushia jagi la maji..msipende kukalili njooni mikoani mtengeneze afya na msake maisha bora na wamikoani msiwaite majina watu wa dar kulegea kwao nikutokana na lishe mbovu na makazi mabovu....
 
Aisee kuna watu wanakaa kwenye vijumba vibovu vibovu tu vya mabati na makuti kama vichaa.

Suggest mkoa gani tuje na kuna lipi jipya ukitoa chakula/nyumba ulizosifia
 
umesema kweli kabisa,,kuna mikoa inafursa nyingi za kiuchumi,,,
mfano mkoa wa mwanza ukiishi ulemkoa mpaka ubongo unakua na afya,,nimeshuhudia hilo kwa jamaa nilisoma nae,aliyehama kutoka dar kwenda mwanza..
Wakati yupo dar alikua kama mbwa koko,
Kabisa mkuu kwa sababu una kula ovyo una lala ovyo January to December dar pagumu
 
Wewe pambana popote tu....kama umetoboa huko mkoani usifikiri watu wote wametoboa kimaisha mkoani huko....
Yaani ushindwe maisha Dar ukaweze mkoani...usitanie watu wewe....Labda kama unaenda fanya kilimo, ufugaji au unaenda kufungua kiwanda mkoani..zaidi ya hapo hakuna huduma za kuzalisha au biashara itaizidi Dar.....
 
Dar ni pagumu sana;
Mji tuwa achie wakinga, wachaga na wapemba
Take home za vijana wengi za laki 9 8 7 6
utaishia kuwatajirisha wenye nyumba kwa kodi za kupanga, pia itaishia kwenye kula, kuvaaa na nyingine kwenye mwendokasi na madalala.

Wakati iyo pesa kwa mkoa kama wa mbeya ni pesa kubwa sana utajenga, utafungua tumiradi, pia hata usafiri lakini dar ni ngumu kufanya haya kwa salary za nmna hii.
 
Wakati iyo pesa kwa mkoa kama wa mbeya ni pesa kubwa sana utajenga, utafungua tumiradi, pia hata usafiri lakini dar ni ngumu kufanya haya kwa salary za mna hii.
Kumbe na wa ni mwanaume wa dar
 
Take home za vijana wengi za laki 9 8 7 6
utaishia kuwatajirisha wenye nyumba kwa kodi za kupanga, pia itaishia kwenye kula, kuvaaa na nyingine kwenye mwendokasi na madalala.

Wakati iyo pesa kwa mkoa kama wa mbeya ni pesa kubwa sana utajenga, utafungua tumiradi, pia hata usafiri lakini dar ni ngumu kufanya haya kwa salary za nmna hii.
Wanasema eti huko kuna bata sana ndo mana hawahami
 
Back
Top Bottom