Vijana na wazee mnao ishi Dar wenye kipato cha chini mtoke mje mikoani mtafute maisha

Kwa Tanzania hii hakuna mkoa wenye maisha nafuu kama Dar es Salaam nimekaa takriban kanda zote ila kwa Dar unaweza kula chakula unachotaka kwa bei chee bila ya kuwa hata na shamba au kwenda kushinda shambani ukifukuza ndege
 
Kwa Tanzania hii hakuna mkoa wenye maisha nafuu kama Dar es Salaam nimekaa takriban kanda zote ila kwa Dar unaweza kula chakula unachotaka kwa bei chee bila ya kuwa hata na shamba au kwenda kushinda shambani ukifukuza ndege
Hawa walugaluga wanajifariji tu.
 
Maisha ya Dar kwa wenye kipato cha chini ni mtihani sana wengi hawapendi kutoka mtu mpaka anafikisha miaka 70 bado ana tafuta maisha na anapanga chumba kimoja na wajukuu hii ni hatari sana..Mikoani wenye maisha ya chini wanaweza kumudu kalibia aina zote za chakula mfano kuku ndizi mchele n.k lakini dar wenye kipato cha chini wanalala vibaya kwa kubanana room 1 asubuhi wanapiga maharage na chai mchana wanapiga pasi ndefu au kaunta ataki jioni miogo ya buku ya kukaanga wanawekewa kachumbali na kushushia jagi la maji..msipende kukalili njooni mikoani mtengeneze afya na msake maisha bora na wamikoani msiwaite majina watu wa dar kulegea kwao nikutokana na lishe mbovu na makazi mabovu....
Point!
 
umesema kweli kabisa,,kuna mikoa inafursa nyingi za kiuchumi,,,
mfano mkoa wa mwanza ukiishi ulemkoa mpaka ubongo unakua na afya,,nimeshuhudia hilo kwa jamaa nilisoma nae,aliyehama kutoka dar kwenda mwanza..
Wakati yupo dar alikua kama mbwa koko,
 
Back
Top Bottom