Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 4,818
- 7,344
Wasukuma kutumikishwa bado haiondoi ukweli kuwa Mwanza iko vizuri.Basi yule mtangazi uwanjani alipotosha, kule misungwi wakati mpira unaenda dakika za mwishoni, watu wakanza kuondoka, akataja maeneo ambayo alihisi watazamaji wale walitokea.
Akasema wanawahi makwao, huku usafiri mkubwa ni baiskeli, hapa kila mtu anaenda kuchukua baiskeli yske alikoficha aende zake.
Leo ninaposikia mwanza ndiko maisha mazuri na shangaa, maana wasukuma mjini hapa na nchi mzima wamezagaa wakitumikishwa mikazi ya mabavu.
Kumbuka hata hiyo Dar ya Wazaramo na Wakwere imejengwa na wageni wakiwemo haohao wasukuma.
Biashara kubwa kariakoo zinamilikiwa na Wahindi, Waarabu, Wachaga, Wapemba na Waha.