verykeys
Senior Member
- Mar 29, 2016
- 155
- 90
hv inakuaje kijana anafikia hatua ya kufikiria kufanya biashara angali hajui taratibu na sheria za kufungua na kufanya biashara katika nchi yake.
Then serikali ikija kumnyoosha anasema serikali inamuonea anataka magufuli amsaidie. vijana unapotaka ufanya biashara usiangalie kwenye mtaji ni sh ngapi, kumbuka kuangalia na vyanzo vya taasisi zinazohusika vinasemaje