Vijana msichukue hii Namba, Wacheni Prof Mkumbo 'amalize'!

Vijana msichukue hii Namba, Wacheni Prof Mkumbo 'amalize'!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,808
Picha ya leo! Prof Kitila Mkumbo 'akipigiwa pande' na Mheshimiwa!
Mkumbo.png

Mheshimiwa amesisitiza kuwa zege hailali! Swali, je Prof Kitila atalaza zege?

NB: Mh alikuwa akisisitizia juu ya kutatua kero/ changamoto ya maji!
 
Ngoja niketi siti ya mbele kabisa.
 
Braza keyboard isikupe kiburi sana
Wenye akili huweka akiba ya maneno, kwa kukusaidia Kagame aliwahi kutuma watu South Africa kwa mtu mmoja aliyekuwa na maneno ya kujiamini kama yako
Mmekuwa wasemaji wa TISS? Mchangiaji ametoa Mawazo yake na wewe toa mawazo yako,TISS ni Binadamu nao wana mapungufu yao....Ndio maana tukio la ulimboka lilimuweka wazi mtu wa TISS mchana kweupe,Ukiwa Smart hautakiwi kuacha Trace,cha kushangaza matukio yanayoinvolve hao watu mengi yanaacha traces mpaka mtu wa kawaida naye anajua etc Kupigwa risasi tundu,kutekwa kwa ben yaani mbumbumbu tu ndio hajui nani aliyefanya hayo matukio.
 
Problem ni pale unapobaki peke yako na wao tu, waulize akina Hanspope wakati wa Nyerere kama baada ya kusamehewa kama wanahamu hata ya kuzungumzia kilichowapata
 
Problem ni pale unapobaki peke yako na wao tu, waulize akina Hanspope wakati wa Nyerere kama baada ya kusamehewa kama wanahamu hata ya kuzungumzia kilichowapata
Watanzania ni waoga sana,elements za alshabaab ndio zinazidi kupandikizwa TZ,Mbegu za chuki zinazidi kupandwa,ndugu wa Ben,Lissu,Azory etc wana hasira sana,kadri siku zinapozidi wanatengeneza kina ben wengine,siku bomu likija kulipuka(Mbegu ya uoga itakapooza na kuzaaa ushujaa) ndipo watu wataanza kutia akili,Burundi huwa hawachecki na KIMA ukiwazingua hata ukiwa mtu wa serikalini watu/wananchi wanakula kichwa ndio maana Uarabuni wanajitoa Muhanga wanajilipua tu mfe wote,Kama Hans Pope alinyamaza kuna wengine hawatonyamaza Dawa ya hao watesaji ipo KIGOMA tu,umtese mtu KIBOYA tu? Lazima nikakukaange na Uchawi wa Congo/Kigoma ukoo wenu wote mteketee.......Wengine hizo PINCHI za TISS hazina madhara maana wengine wamechanjiwa VIDONO hahahahahaaaaa.
 
Wenye akili huweka akiba ya maneno, kwa kukusaidia Kagame aliwahi kutuma watu South Africa kwa mtu mmoja aliyekuwa na maneno ya kujiamini kama yako
Watu wakipotea utasikia ooh CCM, kumbe wengine wanajitakia wenyewe.
 
Back
Top Bottom