Vijana msichukue hii Namba, Wacheni Prof Mkumbo 'amalize'!

Ndo tunavyopenda hivyo, sasa wewe hama nchi?
Kuhama tena
Kwani mimi jirani yako
Mwisho wangu huko ulikuwa 1978
Sio kila kitu ushabiki wa siasa
Angalia na uhalisia pia
Lakini kama mnapenda hivyo sawa
 
Mmekuwa wasemaji wa TISS? Mchangiaji ametoa Mawazo yake na wewe toa mawazo yako,TISS ni Binadamu nao wana mapungufu yao....Ndio maana tukio la ulimboka lilimuweka wazi mtu wa TISS mchana kweupe,Ukiwa Smart hautakiwi kuacha Trace,cha kushangaza matukio yanayoinvolve hao watu mengi yanaacha traces mpaka mtu wa kawaida naye anajua etc Kupigwa risasi tundu,kutekwa kwa ben yaani mbumbumbu tu ndio hajui nani aliyefanya hayo matukio.
Mimi nimemsahauri kwa faida yake,wakati mwingine matatizo huwa tunayatafuta wenyewe kwa mihemko yetu yakitukuta tunaanza kuona watu wabaya kumbe ubaya tunauanza wenyewe
 
Mmekuwa wasemaji wa TISS? Mchangiaji ametoa Mawazo yake na wewe toa mawazo yako,TISS ni Binadamu nao wana mapungufu yao....Ndio maana tukio la ulimboka lilimuweka wazi mtu wa TISS mchana kweupe,Ukiwa Smart hautakiwi kuacha Trace,cha kushangaza matukio yanayoinvolve hao watu mengi yanaacha traces mpaka mtu wa kawaida naye anajua etc Kupigwa risasi tundu,kutekwa kwa ben yaani mbumbumbu tu ndio hajui nani aliyefanya hayo matukio.
Bro umeingea ukweli na hii inatokana na makosa ya kutecruit watu wenye IQ ndogo
 
Back
Top Bottom