Vijana mnaojenga bajeti mnaimudu?

Vijana mnaojenga bajeti mnaimudu?

Mbao Tanzania

Senior Member
Joined
May 31, 2021
Posts
170
Reaction score
216
Tunatafuta vijana wa umri kati ya miaka 18 hadi 35 wanaojenga nyumba zao na wamefikia hatua ya kuezeka ili tuwapunguzie makali ya bajeti ya ujenzi.

Mbao hizi zitawafaa na tutawauzia kwa punguzo la 25% ya bei ya sokoni.

Tunawalenga vijana wa umri huo tu. Mzigo upo wilayani Ilala kwenye eneo letu la kupakia Buguruni-Chama.

Unaweza kutupigia 0782425190 tuzungumze. Kama upo Dar, delivery ni bure mpaka site.

255719864986_status_d82a852a78c94aada523439ae3daa323.jpg

wauzambaojumla-20210308-0010.jpg
 
Vipi siye vibabu ambao bado hatujapaua...nafikiri ingekuwa busara kutupunguzia sisi machungu maana umri ndo unatutupa mkono.
Tunawapa motisha zaidi vijana kuwekeza ili waweze kulipa na ada na wamudu kutunza wazazi, ndugu, jamaa na wategemezi wengine.

Nyie vibabu mnaweza kunufaika kupitia vijana wenu.
 
Buguruni hapo mnatupiga kwenye tape na kwenye calculator. Kuna mdada mmoja alipost fb anauza mbao buguruni bei ilikua ndogo sana nikampandia hewani siku nikaenda kununua mbao na vijana wangu na futi yangu mbona alilia
 
Kweli kuna wapigaji sana katika hizi biashara. Nadhani hii ipo kwenye biashara zote.

Umakini ni muhimu sana, ndio maana sisi tunamruhusu mteja kuja na mtaalmu wake kwa sababu hatuna ubabaishaji.
 
Ungeweka na bei tufanye comparison, kibaha je usafiri unafanyeje?
Kibaha ni nje ya Dar. Tunaweza kuzungumza namna ya kuchangia gharama za usafiri.

Bei zetu zipo hivi:

FUTI 12
2*2 = 2900/=
2*4 = 5800/=
1*8 = 14000/=
1*10 = 18000/=

FUTI 20
2*2= 400/=
2*4= 750/=
2*6 = 1200/=

NB: Usafiri mpaka site ni BURE kwa Dar es Salaam. Mbao zinatokea Mafinga na zimechemshwa na mashine ya dawa.
 
Hizi bei kwenye futi 20 zisiongezwe sifuri tafadhali
 
Mkurugenzi amesema hii ofa inakaribia kuisha. Vijana kazi kwenu.
 
Mie nahitaji mbao za milango pamoja na frem zake!
Aina ipi ya mbao nzuri?
 
Vipi siye vibabu ambao bado hatujapaua...nafikiri ingekuwa busara kutupunguzia sisi machungu maana umri ndo unatutupa mkono.
Njoo nikukopeshe mimi mzee mwenzako bila riba, ili ujenge wewe. Usijaribu kwenda kwa tajiri yako 🐄!! Maana atakuja kukutangaza hadharani kama alivyo mfanyia yule shabiki mwenzako na Mheshimiwa wa Nzega.
 
Back
Top Bottom