Vijana mnakwama wapi?

Siyo kwamba wanadharauliwa bali kutokana na kwamba huo uandishi unachukuliwa kuwa ni wa kihuni na wanaoutumia huwa wanaonekana ni wahuni fulani hivi ambao wanaweza kuleta uhuni hata kwenye kazi hivyo mtu anakuwa anawaza sana kukabidhi kazi kwa watu wa namna hiyo
 
Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Hahahaaa
 
Hahahahah..! Yame nikutakie haya mambo, huwa nawapotezea wakinizoea km kachaa mwenzao..
 
Kijana anahitaji muongozo Mkuu…. wakati mwingine fanya kumpigia atakukumbuka kwa wema wako
 
Eh wewe hebu niache nimekwambia sinaga mazoea wala matani na wanaume wanaodhalilisha na wanaodharau wanawake bora hata mtu kama Cole Williams ndiyo angekuwa ananiambia maneno kama hayo ningekuwa namjibu vizuri ila siyo wewe ptuu chefuu hivi hata haujishitukii? Mxiieeww hebu nikome bwana!
Unalala sebuleni leo mpenzi. Mbona huji ndani ?
 
Kama una nia ya kumsaidia, utamsaidia. Kama huna nia, hautamsaidia hata akupigie simu mara 100.

Itakua kila ukipigiwa unajibu, nipigie baadae, hadi mtu anakata tamaa.
 
Wapi uko mpenzi umeniona nikidhalilisha / nikidharau wanawake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…