Ndiyo hapo sasa! Mtu ambaye haoni umuhimu wa kununua hata vocha ya buku ili aombe kazi kesho ndiyo umtegemee aje kazini tena kwa wakati?
Mkuu nifanyie mpango nipate kazi.Vijana wengi wana Utoto mwingi na Umama..hawako serious na Maisha..ile Nidhamu ya maisha hawana..hawajui kutofautisha mazungumzo bila kujali unaongea na nani..Lugha unayotumia kwa vijana wenzako huwezi kuitumia kwa Mzazi,Boss,Kiongozi or yoyote aliekuzidi umri..wacha maisha yawachape kwanza ili akili ikae sawa ndio watabadilika..
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Mnatuonea aisee. Sio wote tupo hivyo mkuuKwa lugha hizi hata kama ulidhamiria kumdhamini lazima uingiwe ubaridi.tatizo linakuja hawajui kuandika kulingana na mazingira text seriously wanaandika kama wapo kwenye magrup ya shule za msingi.
kuna mmoja alinitumia sms "Bos kama hunawezanihunganisha ile diri,fanyahivyo nitakuhachia chochote rife tahiti kitaha" nikasema kweli mwisho wa dunia umekaribia
Hunishindi mimi zesh,.Nachukia huo uandishi jamani
Kama lako D,.sema tumepishana kidogo tuu😊Hivi Mu....wewe wa rika gani...?? Nadhani natamani nikujue.
We waache tuu,.watatumwa sana dona..Huu Ugonjwa ni Mkubwa kuliko Tunavyodhani! Nilijua Ni Mimi tu Ninaeona Hili Tatizo
Hahahaaaaaa hio comment yako hapo juu na Mimi nilitaka. Niombe kaziHata mimi bado natafuta,.
Hunishindi mimi zesh,.
Wamekuxoma xabaxevenUnakuta kijana anakupigia simu kuomba kazi au msaada fulani. Simu yake inakatika baada ya dakika moja kabla hamjamaliza kuzungumza. Anakutumia ujumbe, "Aisee dakika zimeisha, nitumie namba ya Tigo!". Nani atakuajiri kwa usawa huo?
Au mwingine alikupigia mmezungumza mara moja kuhusu fursa fulani ambayo unaweza kumsaidia au kufanya pamoja, baadae akiwa anakupa mrejesho anaanza kukutumia SMS akitumia lugha kama anazungumza na mshkaji wake tu.
Kwa nini vijana wanachukulia mambo simple sana bila umakini? Halafu mkipigwa chini kwenye interviews na michongo ya pesa mnalalamika hampewi ajira na fursa.
Halafu ukute ndio anaku-seduce jomoniii woiii,.hata kama ana vigezo uandishi ukiwa mbovu credit zinapungua kabisaaaaMi huwa simjibu mtu anaeniandikia mwandiko wa hivyo, nikiona mtu wa karibu namwambia arekebishe uandishi wake vinginevyo awe anapiga simu tu, sitaki kuona uandishi mbovu
Kumbe langu walijua... itabidi nami nilijue lako basi.Kama lako D,.sema tumepishana kidogo tuu
Vijana wengi wanapishana na magari ya mishahara wenyewe halafu wanawalaumu watu wengine
Hayo mambo tulifundishwa kidato cha pili lakini hatuzingatiiUnakuta kijana anakupigia simu kuomba kazi au msaada fulani. Simu yake inakatika baada ya dakika moja kabla hamjamaliza kuzungumza. Anakutumia ujumbe, "Aisee dakika zimeisha, nitumie namba ya Tigo!". Nani atakuajiri kwa usawa huo?
Au mwingine alikupigia mmezungumza mara moja kuhusu fursa fulani ambayo unaweza kumsaidia au kufanya pamoja, baadae akiwa anakupa mrejesho anaanza kukutumia SMS akitumia lugha kama anazungumza na mshkaji wake tu.
Kwa nini vijana wanachukulia mambo simple sana bila umakini? Halafu mkipigwa chini kwenye interviews na michongo ya pesa mnalalamika hampewi ajira na fursa.
Halafu ukute ndio anaku-seduce jomoniii woiii,.hata kama ana vigezo uandishi ukiwa mbovu credit zinapungua kabisaaaa
Wamekuxoma xabaxeven
Halafu ukute ndio anaku-seduce jomoniii woiii,.hata kama ana vigezo uandishi ukiwa mbovu credit zinapungua kabisaaaa