DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Hata mimi bado natafuta,.Naomba kazi mkuu.Sitokuangusha.
Acha kutusingiziaa buana mbona tunaandika vizuri tu motherHalafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Ilibidi uumpe siku nne atengeneze simple ya app ya android alafu akiweza una muunganishia... Alafu usubiri ujionee maajabu wa musa...Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Ndio umeamua uje uniseme huku.....Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Alikuja akanikuta nina project ya kuandaa data base nikampa kazi code hapo ndipo nilichokaa hajui hataIlibidi uumpe siku nne atengeneze simple ya app ya android alafu akiweza una muunganishia... Alafu usubiri ujionee maajabu wa musa...
Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Tunatamani sana ila wanakatisha tamaa mkuu
Bloo wasaidie wenzako
๐๐๐ na bado,mpaka ubadilike....Ndio umeamua uje uniseme huku.....
Sawa tu ipo siku yataisha haya.
Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!
Kwa lugha hizi hata kama ulidhamiria kumdhamini lazima uingiwe ubaridi.tatizo linakuja hawajui kuandika kulingana na mazingira text seriously wanaandika kama wapo kwenye magrup ya shule za msingi.Hii ndio ilinipata majuzi kati kuna bonge job nawatonya vijana wachangamkie naanza kupata sms zao " oyo bloo nimckia kuja kijob au nini mzee wangu nipigishie msele basi nipate pa kujibanza au vp bloo ' hapo mtu ana degree ya computer science
Message hizi huwa ma delete juu kwa juu.Halafu uandishi wao sasa,."xamahani c* una nmbar ya tigo" "ctoweza kuja nimecherewa uxafili" jumbe za namna hiyo huwa sipotezi muda wangu kujibu,na huyo ndio msomi wa chuo kikuu...mfyuuu!!!