Karibu sana,ila umeingia na kaubaguzi hivi maana salamu yako imewalenga vijana tu wakati JF ina rika tofauti.jamani mimi ni mgeni ktk jamii hii, nategemea ushirikiano wenu ktk kutimiza malengo yetu. Mungu awe nanyi.
mimi sio kijana na hivyo sikukaribishi........:A S thumbs_down:
Mkaribishe yawezekana ukawa kijana ktk fikra na mtazamo chanya.
We SOKON-1 habari za Daraja2?
Kma vile nilikutana na wewe pale jana!~:sick:
Mkaribishe yawezekana ukawa kijana ktk fikra na mtazamo chanya.