Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,617
- 3,030
PoaTulia wewe raia(nanga wa kampani).
Sio kila anayetetea polisi ni polisi, mimi kazi yangu si upolisi.
PoaTulia wewe raia(nanga wa kampani).
Sio kila anayetetea polisi ni polisi, mimi kazi yangu si upolisi.
Nimekubali tu ili yaishe,si unajua tena kubishana na chizi nami ntaonekana chizi ......Ha ha ha ha. Hivi kweli unakubali kuitwa NANGA.!?
Mmmmmmh unafahamu kabisa mwenye masters aliyerudi bila kuajiriwa JWTZSio kweli.. afu hii dhana ya vyeti feki inatoka wapi?? Vyeti vya elimu sasa hivi huwezi kufoji.. labda utumie cha mtu mwingine ukimaanisha chako. Ila ni ngumu sana kufoji cheti.
Wote wamerudi haijalishi una vyeti au la.. Wa darasa la saba wamerudi lkn pia hadi wenye masters wamerudi.
Nimekubali tu ili yaishe,si unajua tena kubishana na chizi nami ntaonekana chizi ......
824 kj kanembwa.Hakuna kitu kinauma kama kutoboa mkataba wa JKT bila ajira.
Unajua ukiwa JKT hata hawa polisi unawaona ni watoto yaan unajiona brigedia kamanda.
Kuna nyimbo za dharau kwa polisi hadi basi,kuna hii moja hapa " kazi ya jeshi ni ngumu aeeeeeee si kama ya polisi pushup kwenye godoro aeeeeeeee"
Sasa unarudi mtaani ukiwa huna tena kinga hata mgambo wa jiji anapita na ww ...aseee inauma kichizi,ukicheki miaka miwili umekuwa ukilima kama punda hahahahahahah unarudi nyumbani bila ramani asee wana hali ngumu sana .
Mm ni kuruti mtoro ninayetafufutwa kwa kukimbia mafunzo 824 KJ..
Kuruti wote 824KJ kunyweni maji mengi jeshi si la bibi zenu ...
Maroda jamaa fulani mpenda kuruti ..hyu msela yeye anawapenda kuruti kuliko hata kula..824 kj kanembwa.
Nilipigia hapo kozi mwaka Fulani.vip unamfahamu maroda?
Shida ya SUMA JKT wana bei kubwa kwenye malindo!!!Suma JKT wapanue ajira kwa kufungua ofisi kila mkoa na kila wilaya. Kazi zote za mgambo wapewe wao.
Viongozi waongeze ubunifu
Hilo ni sahihi kabisakwamba vijana sasa jkt wamebaki kuwa cheap labour!
Ni kweli ni raia, mwanajeshi ni raia namba moja au hilo hulijui? Usimzibe mdomo kasema kweli tupu.Mkuu usiongee na raia hyo hajaiva yn mazoezi ya kijeshi anasema ni uonevu hilo ni lilaia likakamavu
Asante mkuu, kumbe polisi na magereza walifanya usaili jamaa wakakimbia siyo, hivi magereza waliajiri lini kwa mara ya mwisho kwenye kumbukumbu zako?Usaili wa magereza na polisi ulikua ukija mnakwepa mnataka jw hayo ndo matunda yake, wengine sasa wapo polisi na nyota zao nyie mnarudi kitaa kuanza upya
Fanya uchunguzi kisha uje tena hapa useme ni lini hivyo vyombo vingine vilipita huko vijana wakakimbia.Mkuu sio jwtz pekee wanaoajiri askari kutoka jkt, kuna polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto , usalama na vitengo vingine nyeti, tatizo vijana wanataka jw peke yake mwisho wa siku wanakosa vyote wanarudi mtaani mikino mitupu.
Ndo maisha mkuuHabari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.
Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.
Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.
NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.
Ili ufanye yote hayo unahitajika kuwa na mtaji, je wamewezeshwa mitaji wakashindwa?Waneshindwa kutengeneza yard za kufyatulia tofali na kuuza?
Wameshindwa kutengeneza mashamba?
Wameshindwa kutengeneza bustani kwenye mikoa yao?
Huko jeshini huwa wanafunzwa nini?
Mkuu huyo unayemwambia hajielewi afu anadhani mm ni raia pia. nasema ukweli lazima tufanye reform jeshi letu.Ni kweli ni raia, mwanajeshi ni raia namba moja au hilo hulijui? Usimzibe mdomo kasema kweli tupu.
Uchochezi at workHabari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.
Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.
Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.
NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.