Vijana kutunza ujana

Ballerina

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
386
186
Habari wana JF

Tusaidiane mawazo hapa,hivi kuna umuhimu wa VIJANA(wakike na wakiume) kutunza UJANA WAO (Bikra)mpaka wakati wa ndoa?
Kama ndivyo,tufanye nini kurudi huko?Kama hakuna umuhimu,faida za hapa tulipofikiani zipi?(tumeshuhudia siku hizi wengi wanaoana si tu wameshaharibu ujana wao,bali wamebebeshana na mimba tayari)

Naomba mchango wenu tafadhali
 
wewe kama unayo endelea kuitunza mpaka uolewe/uoe kama huna pia usijutie kivileee coz kila kitu kina sababu yake
 
Ndio nilitaka kujua hizo sababu ie faida za Kutunza au kutotunza
 
wewe kama unayo endelea kuitunza mpaka uolewe/uoe kama huna pia usijutie kivileee coz kila kitu kina sababu yake

...lahaula wallau qwata...Gaga taratibu, 'huenda' Ballerina mtu mzima sana huyo.
 
Habari wana JF

Tusaidiane mawazo hapa,hivi kuna umuhimu wa VIJANA(wakike na wakiume) kutunza UJANA WAO (Bikra)mpaka wakati wa ndoa?
Kama ndivyo,tufanye nini kurudi huko?Kama hakuna umuhimu,faida za hapa tulipofikiani zipi?(tumeshuhudia siku hizi wengi wanaoana si tu wameshaharibu ujana wao,bali wamebebeshana na mimba tayari)

Naomba mchango wenu tafadhali

Kwa upande wa mimba na bikira naona ni kwa mabinti zaidi ndo wajitunze. Kijana wa kiume hana bikira, na hata akiweka mimba binti anaweza kukana au kukimbia isipokuwa kwa cases za magonjwa ya zinaa.

Lakin si mara zote ubikira ni faida kwa mwanamke. Kuna mdada mmoja ambaye namuona wazi wazi mbinu zake za kujenga mazoea na mimi taratibu tangu Feb 2010, na sasa anataka awe ananiita "mpenzi, honey, swt, baby" n.k. Nimemwambia aache kabisa kuniita hayo majina.
Anasema hajawahi kuwa na uhusiano kabisa na mwanaume mpaka sasa ambapo ana 29yrs.

Kwa mimi naona ukiwa na umri kama huo bado bikira nakuona kama una matatizo fulan, kama vile kutojiamini, uoga au pengine tatizo lingine kubwa ambalo limejificha. (sijui kama nipo sahihi).
Yaani sijaipenda kabisa hiyo status.
Nisahihisheni
 
Back
Top Bottom