steveson manumbu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 887
- 178
Maadili yamekwisha chakachuliwa, ilobaki tunalalama tu. chukuwa hatua yakujirekebisha na kujibadilisha wewe na familya yako baadaye jamaa zako na baadae kitaani,jimbo,wilya hadi mkoa thn nchi!!
to be honest is TOO LATE
Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,
kumbuka mkuu mwingiliano wa watu ni mkubwa kila kukicha. na hao hao watu ndo hivyo mimi ninacholilia ki generation hii na kuendelea ni hatarii hii mkuu.
Hili kuendelea lipo haliwezi kusimama, ni kama mawimbi ya bahari iliyochafuka.... Lets go deep tujue kina cha mushkel, ndipo tuanze kurekebisha from new borns,young ,chekechea and onwards !! Mbona wazee wetu wa zamani walifuzu, walikuwa wakitukanya na kutuongoza japo siyo mzazi wakukuzaa!! Jirani yako alikuwa na hukumu juu yako na ya mwanae
na Mwalimu wa shule alikuwa anajaali hata mwanafunzi wa shule ingine ....!! YES WE can, JUST START AND ME HERE NASTART, NA MAMBOYATAPICK UP.
UBARIKIWE
mkuu umenikumbusha mbali shule nilikuwa nspigwa nakuta taarifa home napenyewe natembezewe dah! mtu yeyote akikuona anaenda cvyo unakanywa sana usiangalia unakula kichapo . vyote vipo wapi hivi mkuu! leo hii ukimkanya mtoto utatukanwa mpk matusi ya ndani .
Mie nimejifunza kuongea kwa utaratibu na upole kdgo katika mazingira yao. na vitoto hata serengeti boyzi huwapa small advaisi hapa na pale.... muhimu nawachiaga lilonikera !! polepole asaa huko mbele.
natamani japo maisha ya nyuma yangerudiwa hakika ilikuwa raha sana. sasa tunakokwenda mmhhh! vitoto havijui kuongea vipo juu juu tu hasa vya kike ni shidaa au kwa vile ni vingi?
mkuu sipati picha nifikiriapo kitu hicho!FYI, dunia hairudi nyuma,,,,, Ulimwengu waenda mbele !! na mishale ya Saa huzunguka bila kusitisha wakati.!! Mkuu kazi tunayo sisi tulokabiliana na vizazi hivi !!
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,