Kurt godel
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 317
- 174
programming maelezo kidogo
ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani
so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani
na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
Calm down......nigga be humble..... Sit ya ass downmtaishia kuwa wanabbes na hzo tamaa tamaa zenu za hela
Uende chup?programming maelezo kidogo
ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani
so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani
na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
Calm down......nigga be humble..... Sit ya ass down
Chill man.... Keep calm and smoke some kush Mr programmer
Good questionsafiiii.naomba kuuliza,ww unapiga sh ngp mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Eti sit ya ass down" [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Usiniite Ni*" mshenzi wewe kasilimiane hvo na vijana wenzako mnaodandia dandia tamaduni zisioeleweka
kuna nini kinachosababisha ulipwe? mimi hata sielewi napenda kujifunza but unachokiongea mimi sikijuiiiprogramming maelezo kidogo
ni kwamba jamiiforum, mpesa, tigopesa,airtel money,maximalipo,youtube,facebook,whatsapp,google vilitengenezwa na wataalamu wa programming
offcourse ndo mabilionare nchini kwetu kama sio duniani
so huo ujuzi watu hawazaliwi nao bali hujifunza, sio lazima uende chup unaweza jifundisha mwenyewe ukiwa nyumbani
na kumbuka mimi hela yangu ya kwanza niliipata ndani ya miezi mitatu ilikuwa shilingi laki tatu na nusu .......hiyo ndo ilinitia moyo na kuendelea kuchimba
programming language zote ni nzuriUshauri mzuri sana ndugu ila hujaweka vidokezo muhimu, mathlani ni programming language gani inahitajika/ inatumika sokoni etc etc.
kinachosababishwa ulipwe ni kazi amnbayo utakuwa unafanya,inahitaji weledi mkubwa,halafu inafanywa na watu wachachekuna nini kinachosababisha ulipwe? mimi hata sielewi napenda kujifunza but unachokiongea mimi sikijuiii
yah kwenye freecodecamp kuna option ya kujoin group la developer within your city...so anza wewemkuu upo mkoa gani wewe?
unaonaje tuki form ka group ka kusoma programming?
nipo mwanza jiji