Sawa boss. Nikupe advice ya bure. Tafuta hiyo flaw na uajiri kijana akufanyie kazi. Si una uhakika wa ku make money, why not pay someone else to do work for you and you enjoy the rest of the money? Vijana wapo na ukiwapa dau zuri hata kwa mkataba mtafanya kazi.People make money by finding flaws. A skilled programmer hatakiwi kusubiri ajira. Sijakilalia kitanda lakini nkikiona kichafu najua kitaleta shida. Sio lazima ujichome kisu cha tumbo ndio ujue kama utaumia
Wengi wanashauri uanze na hivi vitu kwa mtiririkoUshauri mzuri sana mkuu.
Big up.
Mkuu ungeweka na summary kidogo mtu aanzie wapi ili asiangaike sana kwenye kutafuta hizo tutorials.
I mean main concepts ambazo akianza nazo huku pengine inabidi aendelee.
Ila ulivyosema programming kwa pamoja mtu akiwa mgeni sidhani kama atakuelewa aanzie wapi kama hao wanaotaka kujifunza themself.
Kama wewe ni developer, basi nasikitika sana. kwa sababu ushanionesha kuwa you lack creativity and determination. Seems like you are among those who wait to be employed instead of being creative by looking in your society what is lacking or what needs to be improved?Sawa boss. Nikupe advice ya bure. Tafuta hiyo flaw na uajiri kijana akufanyie kazi. Si una uhakika wa ku make money, why not pay someone else to do work for you and you enjoy the rest of the money? Vijana wapo na ukiwapa dau zuri hata kwa mkataba mtafanya kazi.
Bahati mbaya wakosoaji wengi wa aina yako hawapo fani hii na wala hawana mpango nayo japo kila wakati wanaimba kuwa ina "pesa". Kwa nini hamjitosi na ina ma opportunity mengi? Usiseme kuwa wewe sio fani yako. Hata MoDewji au Bakhresa sio fani zao kutengeneza sharubati!
Kama kuona ingekuwa kila kitu, basi mpira wa miguu ungekuwa mchezo rahisi sana kuucheza.
Duh, aisee!Kama wewe ni developer, basi nasikitika sana. kwa sababu ushanionesha kuwa you lack creativity and determination. Seems like you are among those who wait to be employed instead of being creative by looking in your society what is lacking or what needs to be improved?
Simaanishi utoe fedha zako kwa idiot programmer like me. Una maana Tanzania hakuna developer hata mmoja anayeweza ku work out idea zako? Dunia kijiji, hata nje ya Bongo hakuna anayeweza kukufanyia?By the way, kwanini nitoe pesa kwa programmer au developer kama wewe ikiwa you have shown me such a low attitude? si nitakuwa napoteza pesa zangu bure. Huna ushindani how can i expect you can find flaws in Tigo pesa system? let alone in any of google apps?
Usijifiche kwenye kichaka cha kusomea boss. Hata SSB hafanyi packaging ya Unga wa Azam. MoDewji yawezekana kabisa akawa hajui jinsi ya kutengeneza product zake kadhaa. Sidhani kama Reginald Mengi ni mwandishi wa habari. Au na wewe una lack creativity kama mimi?Just for your information, i am very much intrested in tech more than you for sure, sijapata mda wa kusomea ivo vitu lakini ningesomea naamini Tanzania tungekuwa na kitu cha kujivunia.
Naendelea kujitafakari boss!Ukiambiwa ukweli sio upanic, ukae ujitafakari.
Matapeli kila fani wapo. Criteria inapaswa kuwa uwezo wa kazi. Ulipaswa kuangalia hilo sio anachosema mtu au urafiki. Best way ni kutafuta kazi unayoipenda na kutafuta kaifanya nani. Kama hana muda anaweza kukupa recommendation. Pole kwa kutapeliwa. Usikate tamaa!Nina rafiki yangu yeye amesomea hayo mambo nimempe project, its now 2 years hata nikimtumia meseji sijibiwi kabisa. Na ilikuwa tuianze tangu last year September.
Same ideas nilikuja kushare na tapeli mmoja ambae sikujua kama tapeli humu Mathewkapela, akanambia it is possible, imemshinda, nikampa my other project which is not techy pia kabana kimya mpaka leo.
Push hizo idea, unaweza kuwa the next Mukesh Ambani/Dangote wa kesho!Sikusomea programming lakini nina ideas kwa sababu tayari nimeona what Tanzania is lacking and what they want.
Sio rahisi ki hivyo Bongo yetu. Ukiingia ground utajua tu!Kama unaona wazo langu la kutafuta flaws and offer a fix halina maana tafuta Bug Bounty Programs utaona how people make money.
Am not sure that is only I can do. I think there are more I can do like lacking of ideas.We kaa tu hapo subiri akujie mteja anataka app au website, because that seems what you can only do.
Nilitegemea hizo idea ziwe already implemented by creative ones, lakini the attitude of TZ devs ni kusubiri ajira tu.Simaanishi utoe fedha zako kwa idiot programmer like me. Una maana Tanzania hakuna developer hata mmoja anayeweza ku work out idea zako? Dunia kijiji, hata nje ya Bongo hakuna anayeweza kukufanyia?
SSB hatumii mchanga mpaka kujenga kiwanda cha unga, wala Mengi sifikiri kama anawalipa watu oxygen kutengezea ippmedia. Na sifikiri kama wote uliowataja wameanza na volunteers ama kampuni zao wana shareholder mwengine zaidi ya kuwa mwenyewe tu. BTW programmer lazima usomee, huwezi kujiita programmer eti kisa UNAMILIKI tu Facebook. SSB anajulikana ni kama mfanya biashara, sio Engineer kwa kuwa tu anakiwanda. Ukatoa mfano mzuri wa Mengi, huyu nae ni mfanyabiashara sio MWANDISHI WA HABARI. Kwaio siwezi kuwa programmer kwa kuwa nna idea tu. Besides, kuna watu wizi wa idea, unaweza ukamfata programmer ukampa idea yako, akakupiga chenga. Hata tajiri ukimfata ukampa idea yeye akusponsor basi akiona ina faida ana uwezo wa kukupiga chenga. Ukajikuta umemneemesha mtu.Usijifiche kwenye kichaka cha kusomea boss. Hata SSB hafanyi packaging ya Unga wa Azam. MoDewji yawezekana kabisa akawa hajui jinsi ya kutengeneza product zake kadhaa. Sidhani kama Reginald Mengi ni mwandishi wa habari. Au na wewe una lack creativity kama mimi?
Sijatizama kigezo kuwa eti rafiki yangu ndio anajua programming 😀 mkuu, nimetizama knowledge yake. Sikumfata rafiki yangu mwenye duka la kuuza simu nkamwambia nataka anitengezee program.Matapeli kila fani wapo. Criteria inapaswa kuwa uwezo wa kazi. Ulipaswa kuangalia hilo sio anachosema mtu au urafiki. Best way ni kutafuta kazi unayoipenda na kutafuta kaifanya nani. Kama hana muda anaweza kukupa recommendation. Pole kwa kutapeliwa. Usikate tamaa!
Nasubiri someone i can really trust with my ideas.Push hizo idea, unaweza kuwa the next Mukesh Ambani/Dangote wa kesho!
Have you ever posed a threat to any company? not you only i mean TZ developers. If not then clearly no one will take you guys as a threat to the current system.Sio rahisi ki hivyo Bongo yetu. Ukiingia ground utajua tu!
Utasubiri sana na hutapata kwa sababu ushangátwa na nyoka hata jani likikugusa. Ulikosea tangu mwanzo na usirudie kukosea. Tafuta developer mzuri anayeweza kufanya kazi na ukamlipa sawa na kazi yake. Ukimpata andikishana naye mkataba wa kisheria mbele ya advocate na muandikishane NDA.Nasubiri someone i can really trust with my ideas.
Tafuta siku around November. Uje ofisini kwetu, nikupe hint za project ambazo zilikataliwa na yet tatizo lipo. Wakapewa watu incapable na watu wanaoweza tupo. Nadhani huijui system ya Bongo vyema. Ndio maana nikasema ukigusa ground utaelewa. Kwa sasa uko angani bado...!Have you ever posed a threat to any company? not you only i mean TZ developers. If not then clearly no one will take you guys as a threat to the current system.
Hebu undeni timu mara moja and crack the mobile money system. Utaona jinsi gani watakavokuwa tayari kuwalipa kuwaonesha how yo did it and how they can fix it. Pesa haichezewi
Unajua django mkuu??mliofuata ushauri wangu mmefikia wapi kuna jamaa yangu nilimshauri ajifunze code via freecodecamp sasa hiv ni front end developer
Huyu bwana anabwabwaja hajui analoliongelea.Utasubiri sana na hutapata kwa sababu ushangátwa na nyoka hata jani likikugusa. Ulikosea tangu mwanzo na usirudie kukosea. Tafuta developer mzuri anayeweza kufanya kazi na ukamlipa sawa na kazi yake. Ukimpata andikishana naye mkataba wa kisheria mbele ya advocate na muandikishane NDA.
Then mnafanya kazi bila longo longo. Huo ndio utaratibu professional.
Tafuta siku around November. Uje ofisini kwetu, nikupe hint za project ambazo zilikataliwa na yet tatizo lipo. Wakapewa watu incapable na watu wanaoweza tupo. Nadhani huijui system ya Bongo vyema. Ndio maana nikasema ukigusa ground utaelewa. Kwa sasa uko angani bado...!
Unataka kufanya nini kwenye djangoUnajua django mkuu??
Nkitaka kuipakua hii video nafanyejeangalia hii video utakuwa inspired kudevelop app inayofanana na mpesa
Mkuu ukijibiwa unitag npo ka wwMkuu nahitaji kujifunza programing. Nn napaswa kusoma kabla ya kingine?
Kusoma programming ina hatua. Kama beginner napaswa kuanza na vitu gani?
Ni bureee?Kwa ambao hawajui pakuanzia naweka Links mbili hapa labda zitawasaidia beginners
Kwa Upande web development pakua hizi tutorials The Complete Web development course
Kwa wale ambaowangependa kwenda na Programming labguage ambayo ni multi purpose na rahisi Beginners Java Programming-TheNewBoston
Kama utaka kwenda Advanced zaidi kuna Course nyingine ya Java itafundisha kila almost kila kitu isipokua Java servelets na Android programming,itakufundisha ku Build GUI kutumia JavaFX tena kwa urahisi zaidi kwa kutumia SceneBuilder,itakufundisha Networking itakufundisha features mpya za Java 8 kama Lambda Expressions
Complete Java Masterclass
Kuna Course inatolewa na Harvard(Hii ni the Best nafikiri) walikua wanafunidhs kwa C ila nafikiri kwa sasa ni Python ni wewe kwenda hapa nakuanza shule Introduction to Computer science-Havard-CS50x
Kuna course kibao walimu mbali mbali Online katika sites kibao mtandaoni sema mm napendelea Udemy maana nyingi ni za kulipia na zinakua na Value for money!
Kama unataka Course za Bure bila kulipia Udemy waweza kutumia Download Udemy Courses For Free | FreeUdemy.Me hapo utakuta Tutorials kibao hata mbazo sijataja kama za Photoshop,C# na C++ ni wewe kwenda hiyo site na ku search!
Wewe mwenyewe mbea ndo maana umewashwa ukaona ulete habari za kimbea!Mada kama hii itapata wachangiaji wachache sana.. Tatizo tunapenda sana umbea na habari nyepesi...Ukweli YouTube kuna video nyingi sana za kujifunza sio computer tu Bali karibia kila kitu. Ila I hope Uzi wako kuna mtu utamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app