Usenge.com
naomba kuungana na Mwita Maranya kwamba hizi habari hata kuzichangia sasa sitaki. yaani haya mambo ya ushogo, madawa ya kulvya yamekuwa kama ni fashen na hayamuangalii mtoto w tajiri wala maskin.
kuna wengine siku hizi ni ******* wana honga mabasha chezea mshedede weye.
Kaaaazi kwelikweli?
Unga si mchezo,hapo lazima wafededane
mwl sie shulen kwetu tunao wanafunzi ******* na mabasha wao wapo humo humo kibaya zaid ni pale gf anapogombana na mvulana kisa umenichukuli bf wangu. mvulana ane anasema namie nautaka huo huo uboo hapo ndo ngumi zililika.
mkuu wa shule akaona hii mbaya zaid akafukuzia kuleee wakashogane nyumban kama ni kwa 3 some ama nn watajua wenyewe.
Namuombea kazi kwa CAMEROON.Mwana JF, hivi mmoja kati ya hawa vijana angekuwa mwanao ungefanyaje?