Haya mambo serikali I play part yake ili watu wake wanufaike kwa kusign mikataba na makampuni yanahitaji tusiruhusu ya tokee ya zao la vanillaMkuu isije watu Waka limaz halafu Waka ishia kulishia nguruwe??!
Maana kulima, halafu una ambiwa vibali hakuna.Haya mambo serikali I play part yake ili watu wake wanufaike kwa kusign mikataba na makampuni yanahitaji tusiruhusu ya tokee ya zao la vanilla
naomba kufahamu kampuni zinazo kusanya mzigo huo, kutoka kwa wakulima hapa tz??.Hii ni uhakika sio kama mchongo wa kufuga kware.sungura na samaki
Kontena 50 TANZANIA ishindwe?Nyongeza.....kuna mTanzania amepata soko la korosho katika maduka ya Walmart Marekani,,,,,,kwa kipimo alichopewa angalau kontena za futi 40 ziwe 50 kwa kila baada ya miezi mitatu,,,,,,,,
Hata wakulima wote wa korosho Tanzania waungane kuwe na chombo cha kuwawezesha hawatamudu.......
Hili jambo nazani serikali yetu inakwama mahali mnunuzi hawezi kuhitaji tani nyingi bila kuandikishiana mikataba ila kila upande utakaoshindwa kutekeleza basi ulipe hizo gharamaWatu walilimishwa mlonge wakatelekezwa
Petroleum Engineering wakaachwa solemba
Nimeongeza taarifa. Tujibiekabisa