Hawa wajinga ni vijana wa ccm sio wa Tanganyika!Kweli vijana wa Tanzani ni wajinga mpaka basi,hawaoni wenzao wa kenya

Mwamba Kweli kweliAnasema LESENI yake si ya BAJAJI ni ya kuendesha Train.
Kwa kosa gani?Wako sahihi, Gwajima afukuzwe
MxiuuuWako sahihi, Gwajima afukuzwe
Kamvua nguo kilaza mwwnyekt!Wako sahihi, Gwajima afukuzwe
Hamna vijana hapo, kikundi cha you vi sisiem ambacho hawajibu hoja wanamshambulia mtuVijana waliozaliwa na kukulia Dar huwa wanaringa sana kwamba wao ni wajanja kuliko yoyote nchi hii, hadi wana msemo wao kwamba kuzaliwa Dar tu ni sawa na kufika kidato cha sita.
Milio wanayotoa sasa hivi hawa vijana wa Kawe ya kuingizwa kingi na Gwajima 2020 kwamba angewapeleka Birmingham, US na Japan kujifunza uvuvi na wao kweli wakawa wanasubiria kwa miaka mitano kwenda US inaonyesha jinsi gani walivyo butu na wepesi vichwani, hii ni aibu Wakenya wakiiona.
Pia mlivyokuwa mnaandikishwa na Gwajima mpewe ajira mlikuwa hamuulizi hata yeye atazitoa wapi hizo ajira🤣?!
View attachment 3348182
Sio gwajima tu hajatekeleza ahadi zake za maendeleo...Vijana waliozaliwa na kukulia Dar huwa wanaringa sana kwamba wao ni wajanja kuliko yoyote nchi hii, hadi wana msemo wao kwamba kuzaliwa Dar tu ni sawa na kufika kidato cha sita.
Milio wanayotoa sasa hivi hawa vijana wa Kawe ya kuingizwa kingi na Gwajima 2020 kwamba angewapeleka Birmingham, US na Japan kujifunza uvuvi na wao kweli wakawa wanasubiria kwa miaka mitano kwenda US inaonyesha jinsi gani walivyo butu na wepesi vichwani, hii ni aibu Wakenya wakiiona.
Pia mlivyokuwa mnaandikishwa na Gwajima mpewe ajira mlikuwa hamuulizi hata yeye atazitoa wapi hizo ajira🤣?!
View attachment 3348182
Wanatekeleza ahadi zao kwa watoto zao tu.Sio gwajima tu hajatekeleza ahadi zake za maendeleo...
Ni almost wabunge wooote..ambao 99% ni mboga mboga!
Hoja za gwajima ni zipi? Naomba ziorodheshe hapa wengine nao tuzioneHawajajibu hoja za gwajma
Mbona hawakusema kabla ya Gwajima kuita press conference walikuwa wametulia tuu? Wananichefua sura ngumu ndio maana wakiniomba hela siwapagi kengee haoVijana waliozaliwa na kukulia Dar huwa wanaringa sana kwamba wao ni wajanja kuliko yoyote nchi hii, hadi wana msemo wao kwamba kuzaliwa Dar tu ni sawa na kufika kidato cha sita.
Milio wanayotoa sasa hivi hawa vijana wa Kawe ya kuingizwa kingi na Gwajima 2020 kwamba angewapeleka Birmingham, US na Japan kujifunza uvuvi na wao kweli wakawa wanasubiria kwa miaka mitano kwenda US inaonyesha jinsi gani walivyo butu na wepesi vichwani, hii ni aibu Wakenya wakiiona.
Pia mlivyokuwa mnaandikishwa na Gwajima mpewe ajira mlikuwa hamuulizi hata yeye atazitoa wapi hizo ajira🤣?!
View attachment 3348182
Mtu ana meno 50 kinywani anawezaje kuwa na akili timamu.Vijana waliozaliwa na kukulia Dar huwa wanaringa sana kwamba wao ni wajanja kuliko yoyote nchi hii, hadi wana msemo wao kwamba kuzaliwa Dar tu ni sawa na kufika kidato cha sita.