vijana ccm kwanini msijifunze kutoka kwa vijana wa chadema km wazazai wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vijana ccm kwanini msijifunze kutoka kwa vijana wa chadema km wazazai wenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wheel-spiner, Mar 31, 2011.

 1. w

  wheel-spiner Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana ni vijana wa ccm na chadema.Tofauti ni kwamba wa Chadema ni waheshimiwa na wanaongea lugha ya wananchi wote (+waliokomaa kifikra).Vijana wa chadema wanafanya vitu practical na wakiongea baba zao wa ccm wanatamanani kuendelea wasikiliza wakijidai kutaka jibu hoja ila ni kujifunza kwa mapozi na kujaribu angalia ni wapi sera ya ccm itsingiziwa kutekelezwa kutokana na kasi ya CHADEMA.

  Wazee wa ccm ni waharibifu na watoto wao ni waharibifu na waote wanaamini kutafuta mchawi wa kubeba matatizo ndio kutatua tatizo.Baba zao hawakuwahi jua watendalo ktk historia yao.Juzi wameambiwa tena hawajui watendalo ktk jumuia ya africa mashariki ingawa ndio wapiga debe wakuu....

  Sasa hivi si siri serikali ya wababishaji wa ccm sasa hivi hakuna kulala.Kila wakitaka pumzika CHADEMA wanawahemea kisogoni.Wametafuta visingizio kibao ili kuwakatisha tamaa chadema wasiwapeleke mputamputa ila wapi.
  .................. CCM day dreamers` club.................
   
Loading...