Vijana amkeni

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,565
13,540
Amkeni vijana ..tusilale nchi inaibiwa huku .tumuunge mkono Rais wetu katika kuiokoa na kuikomboa nchi hii..huenda tusione faida za kazi yake haraka lakini huenda hata vizazi vijavyo vikaja kuziona faida za Mh.Raid Magufuli . ..wapo wanaotishia rais eti atashitakiwa na wawekezaj na ataliingizia taifa hasara ya faini lakn si Kweli ..ni bora kushitakiwa na kulipa fain ili kufuta mikataba mibovu.kuliko kuendelea kuliwa na kuibiwa milele ...nchi imejaa Mali na bado madin yanagunduliwa nchi nzima ...tuki entertain mikataba mibovu iliyopo ,,tutaendelea kusain mikataba mibovu hivyo hivyo hata Kwa madini mapya au migodi mipya itakayogunduliwa. Bora raisi anavyofuta yote ,,,tuanze upya ...kuanza upya si ujinga....Kwa hiyo wa pinzan na vyama vingi mjitathimin kauli zenu ...msiongee kupita kiasi ,,,wala msitafute umaarufu Kwa hoja za kitoto kitoto ,,,njooni mumshauri rais wakat huu anaumiza kichwa kupambania haki ...mshaurin mkiwa mumefungua mioyo wala si mkiwa mumefungua upinzan .Rais amefungua moyo ,,,kajitakasa ,,kaiondolea mbali rushwa na tamaa moyon mwake ..na yeye si malaika anakiri makosa yake lakn ana msimamo Wa haki ambao una manufaa Kwa nchi yote . Tafadhali tumuunge mkono Kwa uaminifu wote.
 
Back
Top Bottom