Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,505
- 11,358
fafanua mkuuMzee ukiona hivyo mtu kashacheza fair sana kilichobaki acha acheze rafu
[emoji23][emoji23][emoji23]Hi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, ATA mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Noma San mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, ATA mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Ndiyo hivyoWatu wanacheza rafu hadi TAKUKURU sembuse tamisemi, kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake
Mkuu embu fafanua basi tupate A B C kidogo mana kuna kajamaa kamoja kanajisifu kuwa kuna mtu wake mkubwa sana uko majuu kwa iyo hana wasiwasi kabisa juu ya hizo nafasi anacheka tu mda woteHi hope mko poa Sana.
Nimeshangaa kuona kijana mmoja eti anataka kutoa 500K kwa kiongozi Fulani ngazi ya wilaya eti atamsaidia kupata kazi Tamisemi.
Yaani huu ujinga wa vijana wa siku hizi ni hatari, wengine wanatoa 50K kwa mkuu wa Shule ili awaandikie Barua za kujitolea eti ndo watapata ajira.
Vijana acheni Ujinga, Tamisemi hakuna Rushwa, watu wanatenda haki hakuna vya Connection Wala Nini, ATA mtoto wa waziri hawezi penyezwa kijinga.
Badirika
Wakuu wa Shule wanatuma direct through the systemMbona Iyo ya barua ya kujitolea aipo mwaka huu
Haaaaa kwamba Hadi Takukuru wanakula rushwa[emoji3]Watu wanacheza rafu hadi TAKUKURU sembuse tamisemi, kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake
Haiwezekani ajira 9800 wote wapate wenye connection, sema Kama connection ni majina 20 tuConnection matters. Kama huna uhakika nyamaza tu mkuu. Ila TAMISEMI connection matters
Mie sio Mwalimu Ila watu wengi wanapigwa hela kishamba sanaHajui anachoongea huyu,
Connection sio ipo BALI ZIPO KAMA VIPI NJOO PRIVATE
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] amemaliza mwaka gan, na Ni masomo gan yakufundishia, siku pdf ikitoka atalia na kusaga menoMkuu embu fafanua basi tupate A B C kidogo mana kuna kajamaa kamoja kanajisifu kuwa kuna mtu wake mkubwa sana uko majuu kwa iyo hana wasiwasi kabisa juu ya hizo nafasi anacheka tu mda wote
Sidhan, kwamba UVCCM wanapewa priority,,,,PDF ikitoka hawataaminiMkuu naweza kupatia majina 10 hapa, mkeka ukitoka yasipokuwepo basi nitakupa sm yangu . UVCCM DAIMa
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa ....!Hi hope mko poa Sana.