DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita, wameonesha nia ya kuchukua fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani Uchaguzi Mkuu 2025.
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chato, Frank Kuzenza akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Vijana la Wilaya, amesema miongoni mwa waliotia nia ni wajumbe wa baraza la vijana, viongozi pamoja na wanachama wa UVCCM wilayani humo, hali inayoashiria mwamko wa vijana kuwania uongozi.