Mie nina bachelor,kuna mahali nafanya kazi.Nalipwa 106,000/- @ month..
Labda ukubali waje bila udhamini teh teh teh
Mie nina bachelor,kuna mahali nafanya kazi.Nalipwa 106,000/- @ month..
Bado umeng'ang'aniapo kwa kuwa kuna a/c au?
Mkuu sio kila mtu ana network na sio kila graduate atapata kazi ya kulipwa milioni.. wako watu na degree zao wako mtaani huu mwaka wa tatu ameamua awe anapika vitu vidogo vidogo na kuuza, sio kwa sababu hapendi kulipwa hiyo unayodhani wewe kuwa ni.pesa nzuri ila hana jinsi ya kupata hiyo kazi keshatembeza cv hakuna uchochoro hajakatisha ila hakubahatika kupata kazi, leo apate mahali.pa kumlipa 106,000 akatae kwa kuwa tu ye ni graduate akikaa nyumbani hiyo ela ataipata? Mimi nilivolunteer mahali miaka mitatu silipwi mia kipande ila ndiko mahali nilikopatia uzoefu na kupata network. Usimkalie kooni kana kwamba alimwomba Mungu ampe kazi ya mshahara huo.
Watu wenye uvivu wa kufikiri kama wewe ni mzigo wa Taifa hili. Je, unafahamu ni wahitimu wangapi wa vyuo vikuu wanahitimu kila mwaka.? Je, unafahamu ni asilimia ngapi ya wahitimu wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka.? Je, unadhani kila kijana nchi hii anao uwezo wa kujiajiri mwenyewe..? Unadhani suala la kujiajiri ni issue ya kulala na kuamka then useme najiajiri kupitia njia hii? Tatizo lenu watu kama nyinyi mkishapata vijisenti na uwezo wa kufungua kijiofisi pahala,basi unadhani dunia umeimaliza na maisha yanakomea hapo.Shame on you!
vijana waliotajwa hapo juu kwa lengo la kuuza vitabu kwa kuvitembeza malipo sh 80,000 kwa mwezi.kwa maelezo zaidi tuna meseji namba 0754 870 398 ,andika jina umri na mahali unapoishi tunapatikana Dar es Salama
VIGEZO:
-Awe mchangamfu
-Uwe na mdhamini 1,na awe mzazi au ndugu
Mkuu sio kila mtu ana network na sio kila graduate atapata kazi ya kulipwa milioni.. wako watu na degree zao wako mtaani huu mwaka wa tatu ameamua awe anapika vitu vidogo vidogo na kuuza, sio kwa sababu hapendi kulipwa hiyo unayodhani wewe kuwa ni.pesa nzuri ila hana jinsi ya kupata hiyo kazi keshatembeza cv hakuna uchochoro hajakatisha ila hakubahatika kupata kazi, leo apate mahali.pa kumlipa 106,000 akatae kwa kuwa tu ye ni graduate akikaa nyumbani hiyo ela ataipata? Mimi nilivolunteer mahali miaka mitatu silipwi mia kipande ila ndiko mahali nilikopatia uzoefu na kupata network. Usimkalie kooni kana kwamba alimwomba Mungu ampe kazi ya mshahara huo.
Acha kelele ni PM kijana nitumie vyeti vyako nikupe ajira uje ujenge NDOTO zangu maana naona zako umeshindwa kujenga,degree horder unaamka SAA 12 unarudi 10jioni kwa mshahara wa 100000÷30= 3300/day na bado unaona fahari kuajiriwa!!
Ndugu una Bachelor kwenye faculty gani?