Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,349
- 13,085
Huu mchakato upo miaka mingi tu SUA kwa miaka karibia 10 sasa wanapeleka wanafunzi Israel katika hii programhawa vijana wamepatikanaje? tunataka mchakato uliotumika tuuone waziwazi. Kwa haya ya DP World na mengine yanavyoendelea nchini bila aibu unaweza kukuta vijana hao wote ni watoto wa makada wa CCM.