Viiatu vinaficha mengi

afadhali umefanya hivyo bestito
kwani huyu Bujibuji aelewi watu kuwa
kuna nyakati za milo asiweke masaiba yake
yeye anajiwekea utafikiri yuko fb au youtube
Bestiti unanifurahishaga ukiwashushua watu kuhusu fb na yutubu

yaani we mwache huyu Bujibuji
hivi hiyo youtube ni kama android? Hebu nitoeni ushamba mwenzenu mi sio mzoefu sana na haya mambo yenu ya kimjinimjini, mara viber, mara whatsapp, mara BBM
 
ungekuwa hujui usingetaja na hizo zingine za whatapp, bbm n.k
hivi hiyo youtube ni kama android? Hebu nitoeni ushamba mwenzenu mi sio mzoefu sana na haya mambo yenu ya kimjinimjini, mara viber, mara whatsapp, mara BBM
 
Sio viatu tu....chupi ndo kiboko yake...zinaficha mengi zaidi ya viatu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…