Vihoja vya bubu

Vihoja vya bubu

Kwiyo

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
64
Reaction score
11
MHESHIMIWA haya ndio ya huku kwe2. BUBU mmoja aliulizwa unaitwa nani akajibu kwa ishara alishika koo na sehemu ya siri mkalimani akasema anaitwa KOMBO akaulizwa tena unakaa wapi akavua nguo na kuonesha MAKALIO mkalimani akasema anakaa KUNDUCHI akaulizwa huko kwenu wanaongea lugha gani Bubu akashika KISU na akamshika dada mmoja sehemu za siri dada alitaka kumpiga bubu mkalimani akamtetea na kusema bubu kwao wanaongea KISUKUMA. Vp mabubu wa huko kwenu wapo kama huyu au katufanyia makusudi.
 
Hiyo nayo research....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom