MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 8,422 Reaction score 22,556 Mar 20, 2024 #21 Dah nimekumbuka zama zile nasoma kwa kuzima moto ili nikafanye paper . Nilikuwa natusua sana ila ukweli nilikuwa sisomi mno lakini shingo yangu na macho vilikuwa active sana mpaka raha . Rest in peace Engineer kajuni ulinibeba sana mwamba
Dah nimekumbuka zama zile nasoma kwa kuzima moto ili nikafanye paper . Nilikuwa natusua sana ila ukweli nilikuwa sisomi mno lakini shingo yangu na macho vilikuwa active sana mpaka raha . Rest in peace Engineer kajuni ulinibeba sana mwamba