Lecturers wanakuwaga kama wakaanga sumu!!!Nipo mwaka wa mwisho alafu course work haisomi,hiyo ni baada ya test ya kwanza kupata 1 ya 20, na natakiwa nipate 16 ili niingie UE, hapo nimebakisha marks 15 kati marks 20 zilizobaki kwenye test 2,
Naingia test ya 2,nikasema leo ama zangu ama za paper,nikapiga paper matokeo yanatoka nimepata 14 jumla ya c.w 15,tupo kama 50 hivi ambao ni below course work,daah
Tumekaa tujadili tufanyaje,mana lecturer mwenyewe hataki hata kusikiliza la mpiga azana wala mteka maji,wote tucarry course
Tukajikusanya tukawapanga wadada twende lakini tukifika walie kweli kweli mana machozi yao yapo karibu tuombe maker up test, tumefika pale walilia hatari hadi chuo kizima ikawa gumzo ila lecturer akagoma,ila akasema kila mmoja alete test tupitie kama kuna wrong mark,
Tukaanza na sisi wa marks 15,nimebeba test zangu zote na kupitia maswali yote na majibu yote na concepts zote,ila mwisho wa siku 0.5 mark ndio iliongezeeka,nadaiwa 0.5,namwambia kadiria 15.5 hadi 16 marks kagoma anasema 0.5 yeye anaitoa wapi,wakt ilitakiwa itoke kwangu,
Naendelea........
Tokeo likawaje?Kwenye necta form four nilipiga paper la mathe masaa mawili huku kijasho chembamba kikinitoka.Ilikuwa hivi baada ya kupewa pepa na kuruhusiwa kuanza mimi nikajifanya mjuaji nikaanza na maswali ya section B nikapiga swali la linear programming sasa wakati nakuja kuchora graph nakuta ipo nje kabisa duu,nikaamua kukata swali nikahamia la statistics lile la kujaza table kwa kukata vinamba sasa baada ya kumaliza kujaza table kila nikijumlisha idadi ya kwenye table haifanani na ile orodha kamili niliyopewa.Katika kuhangaika nakuta msimamizi anatangaza mmetumi saa moja tayr na mm ndo ninampango nikate na hili swali nianze tu section A.Nilinyanyasika sana ile day.
Nilipata BTokeo likawaje?
π π π Una akili weweNilipata B
π€£π€£Wenye akili wenye helaπ π π Una akili wewe
UsiombeKuna ile unamaliza section A math msimamizi anasema bado dakika 20 mda uishe hapo section B imeshiba maswali mazito
Mashindo ni Bao au πππKuna jamaa alipiga mshindo kwenye practical