Vigogo wastaafu `wakacha'

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,534
8,619
Hapa uwanjani sherehe zinaendelea lakini sherehe hazijafana sana na pia watu wananongona kukosekana kwa waziri mkuu pinda,rais mstaafu mkapa,mawaziri wakuu wastaafu na mke wa rais mama salma kikwete.....
 
mkapa na lowasa hawawezi kukanyaga hapo hadi kiama cha wafu!

si kwamba hawapendi kushiriki, wanapenda sana. haya ni matokeo ya kunyimwa haki yao yakusafishwa mahakamani, mnaona matokeo yake sasa? wapeni haki yao ili wasfishwe na waweze kushiriki shughuli za umma kwa uhuru kama wengine
 
(Mgombea Ubunge)
mkapa na lowasa hawawezi kukanyaga hapo hadi kiama cha wafu!
Nimesikia wananchi walijiandaa na vuvuzela na kuwazomea Fisadi! Fisadi! Fisadi!.... Wapambe wao kwenye system wamewashtua ndio maana wamekacha sherehe
 
Pinda nae ajaonekana mpaka sasa wakati ambapo rai anaondoka uwanjani-sherehe zimepoza sana,sijui kwa nini?pamajoa na kauli mbiu ya tulilinde amani kwa maendeleo yetu-lakini wapi???????
msafara wa raisi unaondoka uwanjani sasa,then dr shein naindoka na mkewe mama mwema,aatfunafuatiwa na kufuatiwa na karume.
 
Duh,nimeondoka hapo uwanjani nilikuwa nimekaa sehemu ya mzunguko,kulitokea tafrani baada ya watu wa mbele kusimama na wanyuma wakaanza kuwapiga na chupa za maji ili wakae,lakini vurugu hizo zilimalizwa na mkwara wa wanajeshi
 
Nimesikia wananchi walijiandaa na vuvuzela na kuwazomea Fisadi! Fisadi! Fisadi!.... Wapambe wao kwenye system wamewashtua ndio maana wamekacha sherehe

hiyo ni wazi watazomea. na wanfanya hivyo kwa sababu vyombo vya usalam vitazuia wananchi wasiwafikie, vinginevyo wangewachoma moto kwa matairi na pteroli, ni vibaka hatari kuliko wale wa manzese!
 
Pinda nae ajaonekana mpaka sasa wakati ambapo rai anaondoka uwanjani-sherehe zimepoza sana,sijui kwa nini?pamajoa na kauli mbiu ya tulilinde amani kwa maendeleo yetu-lakini wapi???????
msafara wa raisi unaondoka uwanjani sasa,then dr shein naindoka na mkewe mama mwema,aatfunafuatiwa na kufuatiwa na karume.

Pinda yupo safarini Vienna kwenye mkutano wa UN
 
Mimi naona kupoteza muda tu na kuwachosha watu, wakati wa chama kimoja tumeteseka sana na hizi sherehe, nikiwa shule ya msingi tulikuwa tukiandamana sana kwenda huko, utakuta shuleni mnaondoka saa 3 halafu sherehe mgeni rasmi anakuja saa 5 mnapigwa na jua balaa NA njaa mimi kwa kweli I HATE HIZI SHEREHE HAZINA MANUFAA KWA MTANZANIA WA KAWAIDA. MNASHEREHEKEA NINI? ETI 9 DECEMBER, UHURU WA TANZANIA, KUNA NCHI ILIPATA UHURU TAREHE HIYO IKIITWA TANZANIA? IKO WAPI TANGANYIKA YETU? IKO SIKU MPENDWA TANGANYIKA ATARUDI
 
Hapa uwanjani sherehe zinaendelea lakini sherehe hazijafana sana na pia watu wananongona kukosekana kwa waziri mkuu pinda,rais mstaafu mkapa,mawaziri wakuu wastaafu na mke wa rais mama salma kikwete.....

vipi Karume kaonekana leo? maama kuna sherehe nyingi hapa katikati hajaonekana na alikuwa na visingizio kibao

au kwa sababu kesha malizana na Seif
 
hata jk alionekana ana stress.

sherehe zilikuwa zimedorora sana
 
vipi Karume kaonekana leo? maama kuna sherehe nyingi hapa katikati hajaonekana na alikuwa na visingizio kibao

au kwa sababu kesha malizana na Seif

ndio leo kaoneka na alikuwa kila mara akinongona jambo na mkulu ila mara nyingine ni kama alikuwa analalamiki na kuonyesha kachoshwa na mambo yaliyokuwa yakiendelea uwanjani inaoneka hajazoea kukaa na kuangalia mambo kwa muda mrefu alikuwa anarusharusha mkono kama vile aha nini sa moja jamaa anasogeza uso kumsikiliza yeye akarusha mkono kidogo amtoboe macho
 
Pinda nae ajaonekana mpaka sasa wakati ambapo rai anaondoka uwanjani-sherehe zimepoza sana,sijui kwa nini?pamajoa na kauli mbiu ya tulilinde amani kwa maendeleo yetu-lakini wapi???????
msafara wa raisi unaondoka uwanjani sasa,then dr shein naindoka na mkewe mama mwema,aatfunafuatiwa na kufuatiwa na karume.

Jamani mbona Pinda yupo nje ya nchi na magazeti leo yanasema juzi alihutubia rais wa Tanzania wanaoishi Vienna, Austria. Tujaribu kusoma na kusikiliza vyombo vya habari kwa upana zaidi otherwise tutajikuta tunajadili non-issues hapa!
 
sherehe kama hizo haziwezi kuwa na nguvu tena kwani uzalendo wa hii nchi umeshaisha, Watanzania wameshakata tamaa na viongozi wao na hakuna matumaini ya future kabisa, kadri kunavyokucha gape la utajili na umaskini ndio linazidi kukua na tunakoelekea maskini hatakuwa hana chake kabisa
 
Back
Top Bottom