Vigogo wapigana vikumbo harusi ya binti Lowassa

kinacho sikititisha ni kwamba badala ya viongozi wetu kutoa michango yakuleta maendeleo katika nchi wanatumimia pesa kunywesha watu wenye uwezo pombe na vyakula wakati tuna mamilioni ya watu wanaokufa njaa. hizi nitabia za kifahari na za ubinafsi. harusi ni kitu private you don't have to invite the whole world hata anaeolewa hajui nani anaoa au kuolewa hapa.
Angalieni vizuri nani fisadi hapa waliokwenda jela ambao hata hawasikiki tena? Au waliopona jela na bado wanajichana kwa kuwa wao ndio wenye nchi. Tanzania haitendi haki. hii inaonyesha walioitwa mafisadi kama ni kweli walikula wenyewe waliopona wanajuana. Kuharibiana sifa tu. Tanzania siasa bado kabisa hakuna sera kikubwa ni ufisadi tu kwakuwa waafrika wote wanapenda kula hakuna hata mmoja nafuu.
 
sis wa afrika tunapenda sana kusema wengine wakati tunahisi mtu yuko kwenye position lakini wote ni walaji na wasio walaji ndio mara nyingi wanaumia kwasababu hawana wakuwafunika madhambi. mimi nikila nawewe utakubali niende jela? fikirieni vizuri msidanganyike. Wakati umefika wa tanzania kufunguka macho. kabla hamjampa mtu kura kwa mara ya pili jiulize je? mimi mtanzania wa kawaida nimefaidika nini na uongozi wa huyu aliyekuwepo katika kiti cha uraisi. utekelezaji wa sera ni muhimu. BAHATI MBAYA HATA WAPINZANI NI WALAJI TU MAZUNGUMZO YAO YOTE NI ULAJI HAKUNA SERA NA HAWANA MCHANGO WOWOTE WALIOFANYA KWA TANZANIA. ANGALIENI NCHI TAJIRI WATU WENGI WANAOPATAKURA WANAKUWA WAMETOA MCHANGO MKUBWA KATIKA MAJIMBO NA NCHI KWA UJUMLA. TUMECHOKA NA BLAA BLA BLA BLA
 
Lowasaa ana mbinu nyingi. Akiwakosa kwenye majukwaa atawalainisha kwenye wine na kahawa. Lazima asafishwe kwa hudi na uvumba. Kama alivyosema Mama Sophia Simba EL ni mwanamme nambari moja kwa ukajanja!
Maneno yanaishi ndiyo yanayo tokea sa hvi!
 
Back
Top Bottom