Vigogo waanza kukimbia maswali ya wananchi kuhusu njaa - Chakula

BUSAMUDA

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
612
358
Katika Hali isiyotegemewa kigogo mmoja ambaye ni D.C. Mkoa fulani amekwepa kujibu swali la mwananchi mmoja kuhusu utayali wa Serikali kukabiliana na uhaba wa chakula unaowakabili baada ya kukauka kwa mazao Yao.

D.C Huyo alikwepa kujibu swali Hilo na kufunga kikao haraka haraka huku wananchi wakiachwa na sintofahamu.

Hii ni ile kitu kila mtu atabeba msalaba wake.!
 
Ujue bado najiuliza chadema hasa nia yenu Ni nini?

Hakuna maswala mengine ya kuletea propaganda zaidi ya njaa?

Ubaya wa njaa mnayoiombea hata hao wafuasi wenu mnaowategemea itawapoteza.

Mmekua Na roho za kichawi sana, jinga sana nyie watu.

Kweli kuna haja ya kua Na chama kimoja kama China, kutokana Na mazingira ya upinzani wa hapa nchini jinsi ulivyo.
 
Vp unajaribu kuitetea serikal kwamba hakuna njaa?....
 
Mkoa ambao nimesikia kwenye taarifa ya mbalimbali ni Mwanza.
Mkoa ambao Waziri wa Kilimo na Chakula ndiko anakotokea.
 
Duh! Hivi hadi chakula ni jukumu la serikali?

Hao watu kama hawawezi kujilisha wanaweza nini?
 
Mkuu kwa utawala huu inatakiwa uwe makini sana katika kujibu. Pale unapoona utatofautiana na mkuu bora utoke nduki tu. Utakuwa salama
 
Ujue bado najiuliza chadema hasa nia yenu Ni nini?

Hakuna maswala mengine ya kuletea propaganda zaidi ya njaa?

Ubaya wa njaa mnayoiombea hata hao wafuasi wenu mnaowategemea itawapoteza.

Mmekua Na roho za kichawi sana, jinga sana nyie watu.

Kweli kuna haja ya kua Na chama kimoja kama China, kutokana Na mazingira ya upinzani wa hapa nchini jinsi ulivyo.
we kweli poyoyo naleta propaganda kwenye maswala ya njaa huoni kwamba akili zako zimegoma kama mwenyekiti wako huko ccm mumeshupaza shingo hadi hamjitambuwi unadhani wananchi hawajui kwamba mumeshindwa kuendesha nchi
 
Ujue bado najiuliza chadema hasa nia yenu Ni nini?

Hakuna maswala mengine ya kuletea propaganda zaidi ya njaa?

Ubaya wa njaa mnayoiombea hata hao wafuasi wenu mnaowategemea itawapoteza.

Mmekua Na roho za kichawi sana, jinga sana nyie watu.

Kweli kuna haja ya kua Na chama kimoja kama China, kutokana Na mazingira ya upinzani wa hapa nchini jinsi ulivyo.
Unaakili wewe??? Hivi kila anayesema kweli ni CHADEMA tuuu... Kueni bwana pumbavu
 
Ujue bado najiuliza chadema hasa nia yenu Ni nini?

Hakuna maswala mengine ya kuletea propaganda zaidi ya njaa?

Ubaya wa njaa mnayoiombea hata hao wafuasi wenu mnaowategemea itawapoteza.

Mmekua Na roho za kichawi sana, jinga sana nyie watu.

Kweli kuna haja ya kua Na chama kimoja kama China, kutokana Na mazingira ya upinzani wa hapa nchini jinsi ulivyo.
Wajinga ni serikali inayokataa kuwa kuna maeneo yameathirika si kwa uvivu wa wananchi bali kwasababu na hali halisi ya hewa kuwa mbaya na magonjwa ya mazao
 
Duh! Hivi balaa la njaa nchini linawaathiri chadema pekee yao nchini!? Acha kujitoa ufahamu. Kujadili suala la njaa chini hakuna uhusiano na propaganda.

Ujue bado najiuliza chadema hasa nia yenu Ni nini?

Hakuna maswala mengine ya kuletea propaganda zaidi ya njaa?

Ubaya wa njaa mnayoiombea hata hao wafuasi wenu mnaowategemea itawapoteza.

Mmekua Na roho za kichawi sana, jinga sana nyie watu.

Kweli kuna haja ya kua Na chama kimoja kama China, kutokana Na mazingira ya upinzani wa hapa nchini jinsi ulivyo.
 
Wanakimbia vivuli vyao kwa sababu wameshashiba.
Ila wasisahau kuwa kuna box la kura..
Lakini system itaiba kura tu.
 
Katika Hali isiyotegemewa kigogo mmoja ambaye ni D.C. Mkoa fulani amekwepa kujibu swali la mwananchi mmoja kuhusu utayali wa Serikali kukabiliana na uhaba wa chakula unaowakabili baada ya kukauka kwa mazao Yao.

D.C Huyo alikwepa kujibu swali Hilo na kufunga kikao haraka haraka huku wananchi wakiachwa na sintofahamu.

Hii ni ile kitu kila mtu atabeba msalaba wake.!
Mwaka Jana kuna baadhi ya maeneo mvua zilizidi hivyo mazao kama mahindi yakawa pungufu. Mazao yanayohitaji mvua nyingi yalipatikana. Mwaka huu mvua zimegoma maeneo mengi hivyo mazao yanakauka mashambani. Utunzaji wa mazao wa asili tulishaachana nao. Sasa hivi hata kijijini hakuna anayehifadhi nafaka kwenye vihenge kama walivyofanya wazazi wetu. Tishio la njaa lipo si utani.
 
Back
Top Bottom