Vigogo wa Tanzanite One mbaroni Arusha

Vigogo wa Tanzanite One mbaroni Arusha

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
757
Reaction score
1,822
Wakurugenzi wa Mgodi wa madini wa Tanzanite One uliopo Mererani wilayani Simanjiro,Mkoa wa Manyara ,Husein Gonga na mwenzake Faisal Shabhal wanashikiliwa na polisi jijini Arusha Tangu Aprili 16 mwaka huu katika mahabusu ya Utalii.

Kushikiliwa kwa wakurugenzi hao akiwemo mfanyakazi wao kumetokana na kikosi maalumu (Taskforce) kikichoundwa na serikali kutua jijini Arusha kwa ajili ya kuchunguza masuala yanayodaiwa kuhusiana na biashara ya madini .

Hata hivyo taarifa kamili za kushikiliwa kwa vigogo hao bado hazijatolewa rasmi.
 
Ngoja niendelee kusubiria taarifa kamili za kuhusu kukamatwa kwao...
 
1587365597812.png


😷
😛
😛
 
Hao walioshikiliwa ni dagaa katika huo mgodi au ndio mbuzi wa kafara ..wakubwa wa kazi wanajulikana ,hao walikuwa wanasikiliza maelekezo kutoka kwa marenga
 
Back
Top Bottom