Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,845
- 6,445
Taarifa nilizozipata toka vyanzo vya Uhakika ni kwamba baadhi ya vigogo wa mradi wa mabasi yaendayo kasi Jijini Dsm wamepandishwa kizimbani hii leo kusomewa mashtaka
Ikumbukwe kwamba Desemba 23 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tamisemi George Simbachawene alimsimamisha kazi mtendaji mkuu wa wakala huyo kwa makosa ambayo aliya ainisha kama ifuatavyo:
Sababu za kumsimamisha kazi ni:
i. Kushindwa kuzingatia Sheria ya Manunuzi ya Umma wakati wa kumpata mtoa huduma katika kipindi cha mpito;
ii. Kushindwa kuchukua hatua hata pale alipobaini kuwa mtoa huduma wa mpito amekiuka masharti ya mkataba wa kutoa huduma ya mpito; na
iii. Kufanya maamuzi makubwa pasipo kuishirikisha Bodi ya Ushauri ya DART.
UPdates; Ni vigogo watatu wamekutwa na ubadhirifu wa Mil.83 walisomewa mashtaka mahakama ya hakimu mkazi kisutu! Wote wametiza masharti ya dhamana.