Slaa nae amekiri kuwa ana kadi ya ccm,tusubiri tutayasikia tu
Na Severin Blasio, Morogoro
ALIYEKUWA Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Morogoro, Bw. Abeli Ruanda pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani Morogoro Bw. Rajabu Ally Kiselengo, wametangaza rasmi kuhamia CCM.
Wakizungumzia na gazeti hili kwa nyakati tofauti, viongozi hao walidai kujiunga upinzani kwa bahati mbaya kama abilia awapo barabarani ambapo linapotekea gari lenye umbo na rangi nzuri hulazimika kuingia ukiamini ni chombo imara wakati mashine yake ni mbovu na haiwezi kuwafikisha popote.
Mbali na kuipongeza CCM kwa uimara wake, viongozi hao walisema vyama vya upinzani havina sera ya kuwakomboa Watanzania bali viongozi wake wanataka kujinufaisha.
Chanzo: Gazeti la Majira, Dec 4, 2012
Nimesikia tetesi mjini Morogoro kiongozi yoyote wa Chadema akijitoa na kutangaza, CCM wanampa kitita cha uhakika, naona ndivyo walivyofanya hawa jamaa ili watoke kimaisha. Mambo ya fedha yamewahamisha kama Kevin Yondani alivyoenda Yanga jamaa hela yote ya ufisadi wanayo wao. Azizi Abood anachangia kwenye siasa ile mbaya sasa hivi, anakata mshiko vibaya vibaya kwa sababu yeye kuongea sana hajui.
haa mkuu yaani kisambaratike baada ya watu wawili ama watatu kutoka? Je ungekuwa unafuatilia ccm wanaotoka ambao hawatangazwi si ungesema ccm imekufa? Chama ni cha watu na si mtu mmoja. We ulisikia wapi msikiti au kanisa vimefungwa kisa waumini wamebadili dini? Inabidi tuwapongeze sana walio upinzani si kazi ndogo kwa tanzania,maana serikali ya magamba ina wanyanyasa kwa kila aina!Chama kinasambaratija hiki,siamini macho yangu.jana mjumbe wa kamati tendaji/katibu wa ilemela amebwaga manyanga,huko mbeya katibu wa wilaya wa cdm amenasa kwenye rushwa,na huku morogoro tena abiria wameshuka kwenye mkokoteni.haya yangu macho
mkuu kwani kuwa na biblia lazima uwe mkristo?au kuwa na msahahafu ndani kwako lazima uwe muislamu?Slaa nae amekiri kuwa ana kadi ya ccm,tusubiri tutayasikia tu
Nimesikia tetesi mjini Morogoro kiongozi yoyote wa Chadema akijitoa na kutangaza, CCM wanampa kitita cha uhakika, naona ndivyo walivyofanya hawa jamaa ili watoke kimaisha. Mambo ya fedha yamewahamisha kama Kevin Yondani alivyoenda Yanga jamaa hela yote ya ufisadi wanayo wao. Azizi Abood anachangia kwenye siasa ile mbaya sasa hivi, anakata mshiko vibaya vibaya kwa sababu yeye kuongea sana hajui.
ni kweli mkuu unachezea waharabu koko wa moro nini? Akina abudi ni kuhonga wapinzani kwa kwenda mbele!Nimesikia tetesi mjini Morogoro kiongozi yoyote wa Chadema akijitoa na kutangaza, CCM wanampa kitita cha uhakika, naona ndivyo walivyofanya hawa jamaa ili watoke kimaisha. Mambo ya fedha yamewahamisha kama Kevin Yondani alivyoenda Yanga jamaa hela yote ya ufisadi wanayo wao. Azizi Abood anachangia kwenye siasa ile mbaya sasa hivi, anakata mshiko vibaya vibaya kwa sababu yeye kuongea sana hajui.
Kwa hiyo unapinga vigogo wa Chadema Morogoro hawajahamia CCM?
walitegemea kupata posho, kwa hiyo anaona sera nzuri morogoro Abood kutoa basi kupeleka watu kwenye mazishi? njaa mbaya sana
mkuu ni afadhali kupokea wanachama wa kawaida kuliko viongozi wa ccm,maana hao wamezoea pepo ndani ya ccm kuliko shida.Nimeona kamanda Sugu ameingiza wanachama zaidi ya 200 wapya na ni wananchi wa kawaida kabisa ambao maisha yao yamefanywa magumu na ccm.. Tunawahitaji wananchi wa kawaida kwenye kwenye ukombozi.. Sio hawa ambao walikuwa ni viongozi kabla ya kutoka ccm.. Wanapokuja hawa wanakuwa na malengo yao binafci au kutumwa ambayo mwisho wanakuja kugundua ni vigumu kupata yale waliyoyafuata wanaishia kuitisha mikutano na kutangaza kuhama kwa kashfa..
hahaha mkuu sijakilenga chama chochote katika andiko langu....nimewalenga wanasiasa wote......Ngoja kwenye katiba mpya tutoe maoni ya kufutwa kwa ruzuku kwenye vyama vya siasa tuanze kubembelezana kushika nafasi za uongozi katika vyama vya siasa kama enzi za mwalimu :behindsofa:mtanzania; bora umewaambia ukweli CDM mana kwao kuambiwa ukweli huo ni dhambi... siasa ni fedha hakuna mwanasiasa anayefanya kazi bure .. kila mtu anahaki ya kuhama chama sasa wameona CDM kuna matatizo si chama cha kuendelea mbele ni chama cha mtu mmoja au wawili basi wameamua kurudi CCM kwa imani kuwa ndio chama sahihi.. mbona tumeona ccm wanaenda chadema mbona hawasemi ni wachumia tumbo???.... ukweli uko wazi hao jamaa ndio walikuwa mhimili mkuu wa CDM morogoro sasa wameshatamba zao kwa babayao ....
kwa hiyo unapinga vigogo wa chadema morogoro hawajahamia ccm?
Ritz na Chadema ni mafuta na maji nadhani ni zaidi ya siasa, ungekuwa na uwezo wa kufuta Chadema nadhani ungeshaiondoa dhamani najua hii newz imekufurahisha sana. Unaweza ukasema ugomvi wako na Chadema chanzo ni nini?
MKUU VYEO VIPI TENA unamaanisha? si tayari walikuwa navyo huko chadema lakini wameamua kuvitema? labda utoe sababu nyingine.Walikimbilia vyeo...haooo waende kwa wachumia njaa wenzao