Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Vigogo Mashuhuri wajitoa CUF

Masahihisho kidogo, ni Kadawi Lucas Limbu, aliyegombea Temeke.
Lakini bado utamsikia mtatiro akijibodoa kwamba bora wameondoka wenyewe kwakuwa baraza kuu lilikuwa na mpango wa kuwafukuza.
Ukimsikiliza ismail justa atakwambia hao ni wakristo ndio sababu wameamua kujiengua!

Cuf kinakwenda kaburini, la sivyo maalim seif aachie ngazi kama anakipenda chama chake!
Siasa za Tanzania zimejaa vituko sana! Na siyo yote yang'aayo ni dhahabu
 
Kwa kiongozi/mwanachama yoyote wa CUF ambaye haamini kwenye siasa za kibaguzi basi anatakiwa aondoke CUF. Yeyote anayebakia humo baada ya kauli ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ismail Jussa maana yake anakubaliana na siasa za kibaguzi. Mh Sakaya ama analipwa na wakubwa wa CUF ili ajidhalilishe au huyu mwanamama hana akili timamu. Sakaya ni mkristo na mtu wa bara, na vitu hivi viwili ndivyo Jussa alisema havina mtuvo kwa chama chao cha CUF.
 
CUF ni jini la kuzimu.May its soul rest in an everlasting fire.
 
Nani aibebaye dhambi ya CUF Januari 27?
Nani wazanzibari wamlaani kwa dhami ya Januari 27?
Nani amewasaliti CUF na kaamua kuiua?
Je, Wazanzibari bado wanamtafuta aliyeiua CUF?
Je, ni Mpemba au ni Muunguja?
Huyo ndie Maalim Seif Shariff Hamad, dhambi aliyowatendea Wapemba haitofutika ktk historia. Ameenda mbali zaidi kwa kudiriki na kuamua kabisa kukiua chama walichokipenda. Lipumba bora ubakie hukohuko switzerland ukisikie hewani tu chama chako kilichokuvunja mkono kikiteketea, usije na ukakishuhudia kinavyoanguka kwa aibu kubwa.
 
CUF kwishney...laana ya kuwatenga watanzania na kujiunga na CCM...na narudia tena wote wanaunga mkono CCM watakufa kifo kibaya sana,na CUF wameanza kuonyesha njia na Originala Komedi ya TBC wanafuata...Mungu awezi kuacha machozi ya watanzania maskini yapite hivihivi...
 
anamaanisha kifo kimekifikia!!!!!!
kwaheri cuf tamaa za ikuru zimewaponza!!!!
 
Nani aibebaye dhambi ya CUF Januari 27?
Nani wazanzibari wamlaani kwa dhami ya Januari 27?
Nani amewasaliti CUF na kaamua kuiua?
Je, Wazanzibari bado wanamtafuta aliyeiua CUF?
Je, ni Mpemba au ni Muunguja?
Huyo ndie Maalim Seif Shariff Hamad, dhambi aliyowatendea Wapemba haitofutika ktk historia. Ameenda mbali zaidi kwa kudiriki na kuamua kabisa kukiua chama walichokipenda. Lipumba bora ubakie hukohuko switzerland ukisikie hewani tu chama chako kilichokuvunja mkono kikiteketea, usije na ukakishuhudia kinavyoanguka kwa aibu kubwa.

Kwa hakika Maalim Seif haaminiki hata asilimia 1, ving'ora na wapambe kumsindikiza vimempotezea kabisa dira. Hiyo Januari 27...hana cha kujitetea na huenda akafikishwa kizimbani wapemba wakicharuka. Yangu macho
 
Dhambi ya ubaguzi haitawaacha mkakaa salama,dhambi ya ubaguzi itahakikisha inawaliza.
 
Mimi kinachonishangaza yaani pamoja na matatizo yanayoendelea kwenye chama lakini huyu mnyamwezi mwenzangu (Prof Lipumba) wala hashituki,yeye yupo Ulaya tu anakula maisha!Sijui anafikiria kitu gani?
 
Kwani Cuf haijafa tu? Lipu lipu lipu lipu lipumba!!!!!! Yuko wapi vile!

leo nimepita sehemu moja tandika nimekuta bango la CUF likiwahamasisha wanachama kujiandaa kwenda airport kumpokea mwenyekiti wao lipumba.. never-say-die fans hao wa lipumba..
 
Back
Top Bottom